hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😆😆😆CDF msengerema kabisa kuwahi kutokea bongo.
😆😆😆CDF msengerema kabisa kuwahi kutokea bongo.
😄Anajitahidi kutoa sauti ya kiume(kukoroma) lakini waapi. Huyu Ni mchumba tu😅
Tanzania yenyewe haishemu raia wake. Bora kwenda nje.Hakuna nchi inayokuheshimu zaidi ya kwenu.
Ukikimbilia huko nje, wanakuona kibaka tu.
Wanadili na watu wema magaidi ni wao wenyewe wanaua raia wema kabisa na wengine kuwapa kesi za ugaidi !! ICC mbona unachelewa?Vipi ugaidi wa Policcm wakishirikiana na tissccm anauzungumziaje?
What if many have been deterred and neutralized without our knowledge as civilians??Actialy hatujaeahi ougwa na tukio serious la ugaidi tokea 1998 attack
Siku tukipigwa na serious attack hutowasikia wakitoa matamko
U-hovyo wake upo kwenye nini mkuu??Moja ya kijamaa cha ovyo, akili ndogo na corrupt kabisa kiilichowahi kupata madaraka nchi hii.
CDF amezungumzia ugaidi wa kuvuka mipaka na sio ugaidi wa ndani wa kupanga kuchoma mali za umma na za binafsi.Unawakamata raia wako unawapa kesi za ugaidi halafu unasema hakuna ugaidi eti mambo shwari
unadhani kuwa cdf ndo wakuogope kama nani?
ni aibu sana mkuu wa majeshi na majeshi yake kuangalia wananchi wake wanakufa ovyo halafu unakuja na ngojera kama hizi
endeleeni kuwalinda hao wabwana zenu ccm
Aibu cdf unakuwa chawa pro!
Nenda wewe basi ndio ukawe CDF.Hili lichapombe nalo eti ndio likuu la majeshi!Nonsense
Ugaidi pia una viwango vyake vya uhatari mkuu ni kama unyanganyi wa kutumia silaha. Komandoo Mstaafu akiwa gaidi sio kama gaidi Niffer.Anazungumzia Magaidi wa Msumbiji .... vipi kuhusu magaidi wa ndani waliokamatwa kwa mamia halafu wakasamehewa tu bila hata kesi zao kusikilizwa na hawa magaidi ambao wanaendelea kukakamatwa kila siku na mpaka wanafunzi na walimu wao kwa tuhuma za ugaidi..!!?
Kugeuzia silaha za kivita, vitoto vidogo visivyo hata na wembe na kuendeshwa na genge la Abdul.U-hovyo wake upo kwenye nini mkuu??
Huko nje ndio pa hovyo zaidi. Labda kama ni.m kwa muda tu.Tanzania yenyewe haishemu raia wake. Bora kwenda nje.
Una ushahidi concrete kweli mkuu??Kugeuzia silaha vitoto vidogo na kuendeshwa na genge la Abdul.
Mwanzoni walipoanza kuwabatiza raia ugaidi walikuwa wanamaanisha ni magaidi toka Msumbiji. !? Au ni kutaka kuwazuga waTZ wajifanye kuwa walimaanisha magaidi toka Msumbiji!? Inasikitisha hata jamaa naye anajaribu kutembelea hii beat ya ugaidi ili asionekane si mmoja wao!Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda amebainisha kuwa hali ya ulinzi na usalama nchini Tanzania bado ni shwari dhidi ya matishio ya ugaidi. Hata hivyo, amesisitiza kuwa kwa vile ugaidi ni "uhalifu wa kuvuka mipaka," Tanzania haiwezi kujitenga au kujiona kama kisiwa.
Ameeleza kuwa nchi inaendelea kushirikiana kwa karibu na majirani zake, hususan Msumbiji kusaidia kupambana na magaidi waliopo Kaskazini mwa nchi hiyo (Cabo Delgado), pamoja na kupeleka vikosi vya ulinzi wa amani katika maeneo mbalimbali duniani ili kuhakikisha utulivu unakuwepo kikanda na kimataifa.
Soma pia >>
Kwa hiyo hilo tukio linahusiana na huu utitiri wa kesi za ugaidi wanazopewa watu kama pipi!?Unakumbuka Uvamizi wa Kitaya mkoani Mtwara ulikuwa ugaidi Kitaya Uvamizi wa Kitaya mkoani Mtwara lililotokea usiku wa tarehe 14 Oktoba 2020?!
Kwa mujibu wa Mkuu wa Jeshi la Polisi kwa wakati huo (IGP), Simon Sirro, alithibitisha kuwa magaidi zaidi ya 300 na kukata raia vichwa, kuuawa Maafisa wa Usalama na kuchoma hospitali na miundombinu mingine. Unataka tukio gani kubwa zaidi ya hilo?
Nawewe mjinga kama dada ako anayekulea hapo nyumbani. Unaujua ugaidi wwCDF amezungumzia ugaidi wa kuvuka mipaka na sio ugaidi wa ndani wa kupanga kuchoma mali za umma na za binafsi.