Mkuu wa Majeshi, Mkunda: Ugaidi kwa Tanzania mpaka sasa hali ni shwari

Ugaidi wetu ni chadema ambayo sisi wanaccm tulianzisha,tukailea kupitia makada wetu wa ccm na sasa imekomaa inadai katiba mpya tunaiua tena!!yaani tunaua juhudi zetu za miaka mingi kuianzisha kuilea na kuikuza chadema!!!
 
CDF amezungumzia ugaidi wa kuvuka mipaka na sio ugaidi wa ndani wa kupanga kuchoma mali za umma na za binafsi.
 
Ugaidi pia una viwango vyake vya uhatari mkuu ni kama unyanganyi wa kutumia silaha. Komandoo Mstaafu akiwa gaidi sio kama gaidi Niffer.
 
Mwanzoni walipoanza kuwabatiza raia ugaidi walikuwa wanamaanisha ni magaidi toka Msumbiji. !? Au ni kutaka kuwazuga waTZ wajifanye kuwa walimaanisha magaidi toka Msumbiji!? Inasikitisha hata jamaa naye anajaribu kutembelea hii beat ya ugaidi ili asionekane si mmoja wao!
 
Kwa hiyo hilo tukio linahusiana na huu utitiri wa kesi za ugaidi wanazopewa watu kama pipi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…