Mkuu wa Majeshi, Mkunda: Ugaidi kwa Tanzania mpaka sasa hali ni shwari

Kuna yule mkuu wa jesh la chadema kamuita akatoe ushahidi
 
Huyu CDF kati ya wote waliopita , hajawahi kuwa impress watanzania.
Mimi namtazamaaaa...... simmalizi!

sasa hivi kila kitu hakijawahi kutokea tangia kuanzishwa kwa republic yetu, raisi kufarikia madarakani, raisi mwanamke, kwa mara ya kwanza hakuna raisi mstaafu wote wameenda, kwa mara ya kwanza rais anaingia kwenye uchaguzi muhula wa 2 bila ya makamu aliyekuwa naye muhula uliopita na kuteua mwingine, kwa mara ya kwanza raisi anaingia kwenye uchaguzi huku kamfunga mpinzani wake mkuu jela na mwingine kuwa-disqualified, makamu 2 wa raisi wamejiuzulu ndani ya mwaka 1, makamu wa raisi anavuliwa uanachama wa ccm na kushambuliwa na kudhalilishwa na serikali, makamu wa raisi haonekani na wananchi hatujui aliko, makamu wa raisi tusiyemjua wala kumzoea kaapishwa haraka, raisi kaapishiwa dodoma military barrack badala ya uwanja wa taifa kama tulivyozoea etc i mean kuna so many 1st kwenye hii regime kiasi kwamba naamaini post hii regime hii nchi haitakuwa the same tena, itabadilika kabisa ...
 
Nyinyi police ni wasaliti. Sijui mnapewa nini na huyo mpuuzi wenu kukaa mbele kwenye TV kama vikatuni na kuongea huu upumbavu. Siku itakuja in your dying bed mtakumbuka huu usaliti mliowafanyia watanzania.
 
Kuna aliyemuuliza hiyo habari, au kakosa kazi ya kufanya akaona bora akaseme kitu chochote ili ajulikane kuwa yupo.

Huo ugaidi ulitegemewa kuwepo Tanzania.
Ni nchi gani ambazo zina ugaidi?
 
Afande CDF, kuna huu ugaidi mwingine wa ndani unaohusu wakosoaji wa serikali! Na wenyewe unauongeleaje? Kuna Dr wa Udom mpaka leo yupo ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…