TANZIA Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Bugozi Musuguri afariki dunia

RIP General, majaliwa umri mkubwa kiasi hicho hatupaswi kusikitika ila kushukuru kujifunza .
Ajaliwe kupumzika kwa amani sambamba na kusamehewa mapungufu yake kama binadamu, tunamshukuru sana kwa utumishi wake katika taifa hili, wazee kama hawa ndio haswa tunaodhubutu kusema walikua wazalendo wa kweli.
 
Hamkosekana watu kama nyie! Ingekuwa ajabu sana.
 
Rip
 
MEJA GEN SAYORE acha kabisa
Mwamba sana huyu MUSUGURI, SARAKIKYA pamoja na SAYORE wa Arusha
Nakumbuka kipindi nasoma jitegemee mjukuu wake alichapwa fimbo bahati mbaya alivimba sana kwenye matrako
Dogo ikabidi arudi home kifuatacho dogo akarudi na mzee ilikuwa kizaazaa enzi hizo Headmaster alikuwa Fabian Massawe aisee Massawe alikuwa mpole sana hadi huruma order ikatoka dogo asichapwe fimbo wala nini alafu toto lenyewe lilikuwa jeuri kinoma

Sema ndio hvyo mtoto wa mkuu wajeda wote wakawa wanahanya kwa dogo 😁
 
Hii comment yako ingekuwa ni Bidhaa iliyoko Sokoni nakuhakikishia ningeinunua hata kwa Trilioni kwani umenena hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…