and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Acha udini weweisrael ni nchi mkakati wa kuanzisha vita ya 3 ya dunia,nashanga sana wakristo wa sasa wanavyoisapoti na hata hao waislamu kwa saudia nao siyo wale wenye misingi ya mtume.
israel ni nchi mkakati wa kuanzisha vita ya 3 ya dunia,nashanga sana wakristo wa sasa wanavyoisapoti na hata hao waislamu kwa saudia nao siyo wale wenye misingi ya mtume.
was Zuena necessary kweli jamani?Iran kelele nyiiiiiingi kumbe Zuwena tu
Tufanye Zuhura bwashe😁was Zuena necessary kweli jamani?
Kwa mujibu wa taarifa ya BBC SwahiliIran Leo wamepata pigo la kuondokewa na Mkuu wa Majeshi kufuatia shambulio la Israel. Apumzike kwa amani Jenerali
Kwani wewe hujui kuwa kila kitu Mungu alishasema kwenye Biblia? Hata hivyo vita vilishatabiriwa. Iran, Urusi Uturuki na nchi zingine za kiislamu zitaungana kuipiga Israel na Mungu atawashangaza! Na ndipo wote mtafahamu kuwa Israel ni taifa teule la Mungu na Mungu mwenyewe ndiye aliyewaleta hapo mashariki ya kati.israel ni nchi mkakati wa kuanzisha vita ya 3 ya dunia,nashanga sana wakristo wa sasa wanavyoisapoti na hata hao waislamu kwa saudia nao siyo wale wenye misingi ya mtume.
Hao Middle East wote wanamsaidia Israel kwa hali na maliisrael ni nchi mkakati wa kuanzisha vita ya 3 ya dunia,nashanga sana wakristo wa sasa wanavyoisapoti na hata hao waislamu kwa saudia nao siyo wale wenye misingi ya mtume.