Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 446
- 982
source tafadhali...Mkuu huyu jana alitoa video ya kuilaani Israeli na kusema kama Israeli ikijaribu kutushambulia Iran, itapokea mapigo makuu. IDF imemfuata hapo hapo Tehran na kumuua pamoja na maofisa wengine. Pia imeharibu site tano zenye vinu vya nyuklia.
Maneno ya mkuu wa jeshi wa Iran katika kitengo cha IRGC Hossein Salami dhidi ya Israeli kabla hajauawa kwa aibu
1) We will Chase you (Israeli) house to house and will take revange for every drop of blood of our martyrs in Palestina...
2) We are planning to break America, Israel and their parners and allies, ouro ground force will cleanse the planet from the filth of their existance.
3) Se shall fight them (our enemies) on the global level, not just in one spot. Ouro war is not a local war. We plan to deafet the world powers.
4) Our strategy is to wipe Israeli off the world's política geography, and Israel seems to be approaching this reality by its evil actions.
Tafasiri
1) Tutakukimbiza wewe (Israeli) nyumba kwa nyumba na tutalipiza kisasi kwa kila tone la damu ya mashahidi wetu katika Palestina...
2) Tunapanga kuivunja Marekani, Israeli na marafiki wao na washirika são, jeshi letu la ardhini litasafisha sayari kutokana na uchafu wa uwepo wao.
3) Tutapigana nao (maadui zetu) katika ngazi ya kimataifa, sio tu katika sehemu moja. Vita vyetu sio vita vya ndani. Tunapanga kuzizima mamlaka za ulimwengu.
4) Mkakati wetu ni kuifuta Israel katika jiografia ya kisiasa ya ulimwengu, na Israeli inaonekana kukaribia ukweli huu kwa vitendo vyake viovu.
Unafikiri wangemuacha hai kwa maneno hayo?
Wamemfuata hapo hapo anapoishi na kummaliza mbele ya walinzi wake na intelenjesia aliyonayo ikashindwa kumwokoa.
Umejifunza nini?
usiendike vitu sensitive Kam hivi bila kutag source.
ila kama nikweli basi ujue hapa ndo panapoanzia wwIII ya kweli.
Iran Hawana akili kwelikweli, ngoja tusubiri kitakachotokea