Mkuu wa Majeshi wa Iran auawa na shambulizi la Israel

Iran Leo wamepata pigo la kuondokewa na Mkuu wa Majeshi kufuatia shambulio la Israel. Apumzike kwa amani Jenerali
Israel ukimuudhi, anaacha ujisahau halafu anakuijia ukiwa na amani tele kumalizana nawe kwa kujibu maudhui yako dhidi yao kwa vitendo 🐒
 
Ibrahim Rahbi ni mchambuzi mzuri sana ila shida yake ana vinasaba vya udini
 
Hahaha
 
Islael hawa jamaa wanatoka planet nyingine.

Waajemi washalizwa tena.
 
Yani hata Viongozi wa Hamasi hawakuuwawa kizembe hivyo na wengine mpka sasa Israel haijawapata
 
Hawa watu walikuwa wamejificha kwenye kiota kimoja? Iweje wanakufa kwa pamoja kama nzige?
 
israel ni nchi mkakati wa kuanzisha vita ya 3 ya dunia,nashanga sana wakristo wa sasa wanavyoisapoti na hata hao waislamu kwa saudia nao siyo wale wenye misingi ya mtume.
Acha udini wa kiboya, Saudia ndiyo center point ya uislamu. Iran kwa supports wanazozifanya kwa vikundi vya wanambo wa middle east ndiyo inakufanya uone wanafuata misingi ya uislamu? Hizo nchi ni bora watwangane hata wakifa wote it's none of our concern.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…