Mkuu wa Majeshi wa Iran auawa na shambulizi la Israel

source tafadhali...
usiendike vitu sensitive Kam hivi bila kutag source.

ila kama nikweli basi ujue hapa ndo panapoanzia wwIII ya kweli.

Iran Hawana akili kwelikweli, ngoja tusubiri kitakachotokea
 
Shida Iran yenyewe Ina wayahudi wengi ambao wapo hadi ndani ya idara nyeti hapo Teheran
Ma undercover
 
Ila jamaa wananuju sana kutoa vitisho. Basi tuseme,
"Mdomo uliponza kichwa"
 
Ni kazi ya mosad hiyo Netanyahu aliwahi kusema kuwa hakuna sehemu ndani ya Iran ambapo hatuwezi kufika hapo ni baada ya kumuua Haniye ndani ya ngome zao za jeshi, Israel ana watu wake ndani ya jeshi la Iran na amemchokoza makusudi anajua nguvu yake inapoishia
 
israel ni nchi mkakati wa kuanzisha vita ya 3 ya dunia,nashanga sana wakristo wa sasa wanavyoisapoti na hata hao waislamu kwa saudia nao siyo wale wenye misingi ya mtume.
Hiyo misingi ya mtume wenu ndiyo italeta vita ya tatu, haiwezekani wewe unaamuru jamii fulani iangamizwe,
Unawaadikia hayo wafuasi wako,
Unzifanya jamii nyingine ni adui,watafutwe popote walipo hata chini ya mawe wauliwe. Unadhani hizo jamii zitasubiri ujiimarishe kijeshi kiasi cha kuziangamiza? Watakuangamiza kabla hujatekeleza agizo la mtume wako. Ndicho kinachotokea
 
Ibrahim Rabi anasemaga ukweli,we ngoja kipondo dhidi ya Israeli soon!!!
 
source tafadhali...
usiendike vitu sensitive Kam hivi bila kutag source.

ila kama nikweli basi ujue hapa ndo panapoanzia wwIII ya kweli.

Iran Hawana akili kwelikweli, ngoja tusubiri kitakachotokea
Ukisikia mbinu za kivita ñdo kama izi xaxa alizozifanya Israel, maana ukitaka kupambana na adui yako mkubwa kwanza msome then mpige sehemu nyeti sio unarusharusha tu mabomu, ukipiga shambulizi nenda kwenye kiini na uhakikishe shambulizi hilo halijaenda bure
 
Ibrahim Rabi anasemaga ukweli,we ngoja kipondo dhidi ya Israeli soon!!!
Tuongee facts
Ismail Haniyeh na baadhi ya viongozi wa Hamas walipigwa wakiwa Iran hili lilikua pigo kwa Iran

Kiongozi wa Hezbollah akapigwa pale Lebanon
Iran akalipiza kwa kutuma makombora ambayo hayakua na athari kibinadamu..Israel akalipiza ikaua wanajeshi 4 mbaya zaidi Israel alimuonya kabisa Iran kuwa tutapiga hapa hapa na itakua na umwagaji damu kidogo na ikawa kweli.

Twende mbele turudi nyuma vita vya Iran na Isarel sio vya kushabikia hata kidogo , vita vya panzi zinaumia nyasi. Vita ya Kunguru furaha kwa kunguru.
 
Hili ni pigo zito saana mkuu.
 
Leo nimemsikiliza anafanya uchambuzi wake uchwara huku anatetemeka kwa uchungu. Yule jamaa ana hasira sana na Israel😂😂
 
achukue silaha akawasaidie wamfumue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…