Mkuu wa Majeshi wa Kenya alitaka azikwe bila Jeneza na asicheleweshwe kuzikwa

Mkuu wa Majeshi wa Kenya alitaka azikwe bila Jeneza na asicheleweshwe kuzikwa

Nimeangalia live kwa tv wanavyomuaga Marehemu..


Itoshe kusema hakukuwa na utaratibu mzuri wa kumuaga mtu mkubwa kama yule
[/QUOTEkumekuwa na utaratibu wa hovyo hata kwa watu wa kawaida katika familia wakati wa kuzika
 
Hapo juu nimeliongelea hili,mkuu.

Ni ujinga wa sisi tulio wakristo na usasa usio na maana.

Mtu akifa,mweke kwenye vazi jepesi(sanda),kisha ahifadhiwe kwenye ardhi. Hizi mambo za kumweka ndani ya mbao kisha Tena na kaburi unalitia zege,na unamvamisha nguo kibao unaenda kinyume na Sheria ya uumbaji.
Kwangu tunafanana mitazamo
 
Back
Top Bottom