Hapo juu nimeliongelea hili,mkuu.
Ni ujinga wa sisi tulio wakristo na usasa usio na maana.
Mtu akifa,mweke kwenye vazi jepesi(sanda),kisha ahifadhiwe kwenye ardhi. Hizi mambo za kumweka ndani ya mbao kisha Tena na kaburi unalitia zege,na unamvamisha nguo kibao unaenda kinyume na Sheria ya uumbaji.