Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi awasamehe waliofukuzwa JKT, watakiwa kurudi jeshini

Mama ni mtu wa haki sana mungu ambariki kwa kuwaona vijana wenzetu.
 
Hilo JARAMBE WATAKAOKUTANA NALO mungu tu ndio atakua shahidi
 
Habari yako mwali..!!
Nisiku nyingi sijakuona hapa ndani.
Karibu sana
Aaaah Ushimen si umuambie tuu. Unaaaanzaaa mbaliiiiii. Jivike ujasiri tu na umuambie. Kumbuka kwenye hii makitu haina cha kijana ama mzee. Kwanza hao wazee watamu kichiz halaf experienced wana miguno flani hivi ya kipekee unapowafikisha
 
Aaaah Ushimen si umuambie tuu. Unaaaanzaaa mbaliiiiii. Jivike ujasiri tu na umuambie. Kumbuka kwenye hii makitu haina cha kijana ama mzee. Kwanza hao wazee watamu kichiz halaf experienced wana miguno flani hivi ya kipekee unapowafikisha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Safi sana. Huu ndio unyenyekevu watanzania tunatakiwa kuwa nao.
 
Unahangaikia kupata uteuzi. Utasubiri sana

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
nahisi vita vya ukrain na urusi ndivyo vichangia pakubwa,yaani kuimalisha jeshi la taifa,watapata ajira ya moja kwa moja hawa.
 
Hawakupata vyeti vya kuhitimu ujue hilo.
Hawa vyeti walaipata vizuri tu wakakusanywa toka makambi mbalimbali wakapelekwa IKULU CHAMWINO kufika kule vyeti vikachukuliwa wakaanza na ujenzi mwisho wa siku kuna Amri wakapewa wengine hasa hao 854 wakagoma kutii ikabidi wafukuzwe na siku 5 baada ya kurudishwa majumbani CDF akatangaza kufuta mikataba yao na wakapigwa BAN kuajiriwa kokote kisa hawana vyeti!! Wale ambao hawakugoma wameshaanza Course tangu mwaka Jana mwishoni huko KIHANGAIKO RTS, na wachache walikuwa OLJORO Hawa wamesamehewa na watarejea kuanza mafunzo Mara moja huko MAFINGA Kama walivyoahidiwa na Rais JPM RIP
 
Neno moja kwa Mama hawa vijana hawatakusahau na watakushukuru sana.
 
kupimwa blood group ni kitu cha kawaida jeshini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
lakini sio kwa ajili ya utambulisho..... blood groups sio fingerprint!

billions of people share the same blood group....

mwanajeshi aliyetoa tamko hilo KACHEMKA!

na kasema kuna watakaojipenyeza kwa sababu kwenye kundi la mamba kenge nao wamo...

CDF, MKUU WA MAJESHI mzima, professional mkubwa unafananisha wananchi na KENGE ????????

Hata kama wangekutwa na jinai ya ku forge majina, adhabu ya jinai hapa nchini ni kifungo au faini, sio kuambiwa WEWE KENGE !!!

Wanapita barabarani tunawapisha na vijing'ora mbele ya Land Cruiser kama vile waheshimiwa sana lakini hawako professional chochote, na hawajiheshimu, hawajui PUBLIC RELATIONS... how can you issue a public statement with the words MAMBA and KENGE ??????
 
Naona Jeshi la Waaasi miaka 20 mbele, tusilete Siasa kwenye Ulinzi na Usalama wa Taifa letu. Unarudisha Jeshini Askari waaasi wa Kiapo cha Kijeshi.. africa is shithole, nitakuwa wa mwisho kuelewa hii logic
Yaani wanajeshi 853 WATOVU WA NIDHAMU WAREJESHWA. Hii kitu si sawa. Otherwise waseme waliwasingizia. Jeshi ni kitengo nyeti tusufanye siasa

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Naona Jeshi la Waaasi miaka 20 mbele, tusilete Siasa kwenye Ulinzi na Usalama wa Taifa letu. Unarudisha Jeshini Askari waaasi wa Kiapo cha Kijeshi.. africa is shithole, nitakuwa wa mwisho kuelewa hii logic
Kiapo cha jeshi walikula lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…