love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Acha kupotosha..Hawa vijana waligoma baada ya kukaa muda mrefu bila kupata ajira,ilikua ajira zikitoka wana achwa wao makambini wana ajiriwa ndugu na jamaa za vigogo.
Kwa amri hii ya Rais hawa vijana wanapata ajira au wanarudi kuendelea kujitolea bila malipo yyt ktk makambi ya JKT?
Anaye elewa pls atuambie
Hawa waliondolewa JKT kwa sababu walikuwa wanajenga ikulu dodoma na walikuwa wameshaahidiwa
na Hayati Magufuli watapata ajira siku chache baada ya kifo chake wakapangiwa kambi zingine hivyo
wakaona kama hawatapata kazi na si kuwa walikuwa wanaajiriwa watoto wa wakubwa.