Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ndio ukweli bossAsante kwa real confession...
General apumzike kwa aman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ukweli bossAsante kwa real confession...
General apumzike kwa aman
Duh, helicopter ikianguka manusura huwa wachache au hakuna kabisa
Mnatakiwa kuwahi kutoka kabla haijafika chini, it takes less than 1 min to reach the ground
Imagine hao ndio jeshi , hawana hata contingency plan ya kuchomoka kwenye dharura tena chini ya mkuu wa majeshi; shame
hawa wakuu wa majeshi huwa ni manguo tu but hawana cha maana
Africa ni shida , mkuu wa majeshi anapandishwa ndege isiyokuwa emergency rescue au. Contingency plan
Shame Africa
Hata mimi nimeona aibu aisee.. hiv vifo vya kufa ma kuruta sio mbobevu wa mafunzo aliyepata trainning nchi kibao duniani. Just kuruka tu imekua shida maana kama haijapigwa bomu, lazima kuwe na some time baada ya technical failure ku indicate! Ima maana hata pilot hakuona shida before???Mnatakiwa kuwahi kutoka kabla haijafika chini, it takes less than 1 min to reach the ground
Imagine hao ndio jeshi , hawana hata contingency plan ya kuchomoka kwenye dharura tena chini ya mkuu wa majeshi; shame
hawa wakuu wa majeshi huwa ni manguo tu but hawana cha maana
Africa ni shida , mkuu wa majeshi anapandishwa ndege isiyokuwa emergency rescue au. Contingency plan
Shame Africa
Acha kuangalia movies sana. likija suala la helicopter crash hakuna cha commando, general au mdudu gani. Otherwise makomando wote wangesingekufa kwa helicopter crush
Na kutokana na design ya helicopter ikidondoka ni kama jiwe todauti na ndege zingine ambazo zina glide.