TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi


Watu mnapenda sana kulalamika. Ajali za ndege na helicopter kwa wanajeshi hutokea. Siyo Afrika tu, hata nje ya Afrika.
 
Cdf anakufaje kirahis hivyo? Mbona amekufa kikawaida sana namna hii, ? Hiki sio kifo cha ki cdf hata kidogo
 
Hata mimi nimeona aibu aisee.. hiv vifo vya kufa ma kuruta sio mbobevu wa mafunzo aliyepata trainning nchi kibao duniani. Just kuruka tu imekua shida maana kama haijapigwa bomu, lazima kuwe na some time baada ya technical failure ku indicate! Ima maana hata pilot hakuona shida before???

Au imepigwa bomu? Kama bomu sawa silaumu japo intelligence hapa inatakiwa kuwa held responsible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…