Mkuu wa MI kuwa RC

Mkuu wa MI kuwa RC

Habari wakuu. Kwa mujibu wa Rais wakati anawaapisha wakuu wa mikoa wapya leo Ikulu alitamka kuwa aliyemteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera alikuwa Mkuu wa Intelijensia ya jeshi ( MI).

Je ni sawa kutamka hadharani kuwa alikuwa Mkuu wa MI? Hakuwezi kumfanya akawa target zaidi huko anakoenda ukizingatia anaenda mpakani?

Pia naona Mkuu wa MI ni mkubwa sana kuwa RC. Sio mjuzi ila ni mtu ambaye yuko karibu sana na cheo kikubwa kabisa cha jeshi( mtanikoa kama ntakuwa nimekosea) kwani hata RC aliyekuwepo hapo Kagera kabala ya kusataafu alikuwa Meja jenerali tu. Huyu ni Brigedia jenerali
Alaf me naona kam umekosea kdg mwny hii post... RC wa Kagera aloteuliwa n kuapshwa leo hakuwa MI, icpokuwa yule mwngne ndo alikua MI
 
Mkuu kuna specho assignments ambazo mhusika ili aweza kutimiza "majukumu kikamilifu" anapewa cheo chochote haka kuliko elimu au kazi yake!

Tulia. Hawa majirani zetu ni kazi ya mikono yetu wenyewe!...proudly JWTZ.....hima himaaaaaaa Tanzaniaaaaa....Hima himaaaaaaa Tanzaniaaaaaa
JPM akili kubwaa,tutamuelewa tu
 
Huyu hakuwa mstaafu kwa mujibu wa aliyemteua. Lakini hata kama mstaafu Mkuu si anakuwa anajua mengi haipendezi kumuanika.
sio Mstaafu
bado kabisa
na hata anaweza hamishwa au kupewa majukumu mengine km kutatokea kuingia mstari wa mbele
wacha wakae mipakani
 
Habari wakuu. Kwa mujibu wa Rais wakati anawaapisha wakuu wa mikoa wapya leo Ikulu alitamka kuwa aliyemteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera alikuwa Mkuu wa Intelijensia ya jeshi ( MI).

Je ni sawa kutamka hadharani kuwa alikuwa Mkuu wa MI? Hakuwezi kumfanya akawa target zaidi huko anakoenda ukizingatia anaenda mpakani?

Pia naona Mkuu wa MI ni mkubwa sana kuwa RC. Sio mjuzi ila ni mtu ambaye yuko karibu sana na cheo kikubwa kabisa cha jeshi( mtanikoa kama ntakuwa nimekosea) kwani hata RC aliyekuwepo hapo Kagera kabala ya kusataafu alikuwa Meja jenerali tu. Huyu ni Brigedia jenerali
Mej Gen ni mkubwa kwa Brig Gen.

Mtiririko toka juu hadi chini uko hivi:
1. Gen
2. Lt Gen
3. Maj Gen
4. Brig Gen
5. Col
6. Lt Col
7. Maj
8. Capt
9. Lt
10. 2Lt

Kwa Askari ni kama ifuatavyo.
7. WO I
6. WO II
5. S/Sgt
4. Sgt
3. Cpl
2. L/Cpl
1. Pte

Sahihisha hapo uliposema Mej Gen ni Mdogo kwa Brig Gen

Bazazi ni Bazazi
 
Ahsante sana Mkuu. Hakika kwenye wakongwe haliharibiki jambo.
 
Kuwa mtu mmoja Safi sana ama kuwa mtu wa watu is one of the most essential ingredients of a spy.

All military generals ni watu safi Sana na wenye mioyo na uvumilivu na ukarimu. Ila usiwaudhi

Huwezi kukusanya taarifa if you're rude
Alaa
 
Natambua kuwa yupo pale "Kagera" kwa kazi maalum, lakini kwanini atambushwe!
Malcom Lumumba sema neno
Mkuu aliteleza. Na sio mara ya kwanza. Mfano aliwahi kuuliza mbele ya hadhara idad ya wanajesh kambini huko mpakani. Nadhan hakupitia mafunzo ya kumsaidia nini cha kuzungumza mbele za watu na athari zake
 
Huwezi kuteleza zaidi ya mara moja mkuu. Itoshe kusema alifanya kusudi ili kuwatisha anaokwenda kufanya kazi ya kuwadhibiti. Ujinga
 
Back
Top Bottom