Mkuu wa Mkoa azuia wananchi kuchukua mchanga kwenye kaburi la Maalim Seif, asema wataumaliza na kuacha shimo

Umesomeka mkuu
 
Aliishi maisha ya utimilifu mno kwa viwango vya kibinadamu, akazalisha roho chanya iliyomfanya apendwe na watu wake wengi... Hii imemjengea nishati chanya ambayo ndio hiyo watu wanapagawa nayo "hallucinations"
 
Naunga mkono!
 
Wajengee kaburi.
Short and clear.
Kwani Ni mifuko mingapi ya cement?
 
Acp juma saidi ana sema sio jambo zuri sana πŸ˜‚
Mzee ana sema wakati mwingine nina kuwa nkali time ingine πŸ˜‚ juwa apo kuna kipindi ana wambia msichukuwee mwingi wee choloo wa tosha uwoo
 
KIFAFANUACHO KIFO MBELE YA MUNGU, SI CHEO KIKUBWA WALA DARAJA, ILA MATENDO MEMA SAA YA KUFA KWAKO
HAPA WE MSAFIRI SIMAMA NA TAZAMA
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Tunaomba utupe uzi kuhusu hali hii
Aliishi maisha ya utimilifu mno kwa viwango vya kibinadamu, akazalisha roho chanya iliyomfanya apendwe na watu wake wengi... Hii imemjengea nishati chanya ambayo ndio hiyo watu wanapagawa nayo "hallucinations"
 
Mtu anapozikwa huwa kimvuli chake(mazabaila) kinabaki pale juu ya kaburi.

Kwahiyo watu wenye utaalamu wao huchukua mchanga kwa ajili ya kufanyia Mambo fulani fulani.

Mambo ya kusafisha au kuchafua nyota huwa yanaanzaga na michakato kama hiyo.

Kwakuwa ni mtu maarufu .....

πŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…