Mkuu wa Mkoa azuia wananchi kuchukua mchanga kwenye kaburi la Maalim Seif, asema wataumaliza na kuacha shimo

Kwa nini bado kuna watu wajinga kiasi hichi?
 
Watu huo mchanga kwenye kaburi wauchukua wa nini? Maana yake wewe ni mshirikina.ni uchawi ujue
 
Aliishi maisha ya utimilifu mno kwa viwango vya kibinadamu, akazalisha roho chanya iliyomfanya apendwe na watu wake wengi... Hii imemjengea nishati chanya ambayo ndio hiyo watu wanapagawa nayo "hallucinations"
Nilikuwa nasubiri comment hii! Watu na fani zao.
 
Watu wa peponi hawa kaburi kunukia Miski sio jambo jepesi.
 
Mshana Jr
Ili limeka vipi

Back
Top Bottom