Nani mkubwa kwa mwenzakeZitto Kabwe ni Kiongozi wa Chama ( KC)
Maalim Seif alikuwa Mwenyekiti wa Chama
Zitto Kabwe ndio mkubwa kuliko wote!Nani mkubwa kwa mwenzake
Anajulikana kama kiongozi wa chama yani zamani sana kipindi hicho cha akina Mkwawa angejulina kama Mtemi zittoZitto Kabwe ndio mkubwa kuliko wote!
Kwa haraka haraka labda yaweza kuwa ni katika imani za kishirikinaKwa wanao fahamu kazi ya huo mchanga wanao uchukuwa ni nini?
Wewe umeshaelewa vibaya sasa. .Aisee sie wa bara ndo twasikia leo ya kwamba Maalim Seif alikua nabii wa Pemba yakhe basi Inshaalah
Mwenyezi Mungu amrehemu mja wake amwepushie adhabu ya kaburi aamin!
mbona unanichanganya sasa,kwani wamemaanisha nini tena?Ww umeshaelewa vibaya sasa. .
Kmmmke!! sijui zitanyweka haswaTunawaomba wanasiasa wengine waige mfano wa Hayati Maalim Seif angalia watu wanavyompenda
Nina imani kuna baadhi ya Mwanasiasa wako hai siku wakivuta kuna baadhi ya Wananchi wanaweza kunywa na kufurahia.
Hii Dunia ni mapito tu
mmawia kaonekana pande hizo na kindoo!
MarashiEti wadau MASKI ni nini?
Nb mimi mtu wa bara