Mkuu wa Mkoa Chalamila: Ni aibu kumsumbua Waziri Mkuu wakati mimi nipo

Mkuu wa Mkoa Chalamila: Ni aibu kumsumbua Waziri Mkuu wakati mimi nipo

Hiyo ni Dsm achunge mdomo- Kwetu chalamila kavuruga. Mkoa
Anaongea sana hafikirii
SWALI
KERO YA KODI sheria zinazolalamikiwa katunga RC...."
Task force zinaundwa na Rc
Sheria usajili magidown katunga RC
Leo wenyeviti wametoka mikoa yote ni wa Dsm.
Ni kama kujipa sifa za kijinga
Kawatukana ma RC wote wameshindwa kutatua Kero
Haya mbona wa kagera kaeleza Kero za kagera na yeye ametoka kagera
Aache kuropoka hiyo Dar siyo mafinga
 
RC anaweza kushughulika na changamoto za kikodi pamoja na kurekebisha kodi zinazowanyonya wafanyabiashara?

Ama alipiga mitungi ndo akaenda kwenye mkutano
Uongozi sivyo kama unavyowaza wewe,

Kinachotakiwa hapo ni kutatua kero kwa kukutanisha pande mbili kisha unahakikisha zinaelewana na kutoa tofauti zao
 
Hiyo ni Dsm achunge mdomo- Kwetu chalamila kavuruga. Mkoa
Anaongea sana hafikirii
SWALI
KERO YA KODI sheria zinazolalamikiwa katunga RC...."
Task force zinaundwa na Rc
Sheria usajili magidown katunga RC
Leo wenyeviti wametoka mikoa yote ni wa Dsm.
Ni kama kujipa sifa za kijinga
Kawatukana ma RC wote wameshindwa kutatua Kero
Haya mbona wa kagera kaeleza Kero za kagera na yeye ametoka kagera
Aache kuropoka hiyo Dar siyo mafinga
Nyie acheni Mambo yenu,Suala la kodi ni la Kitaifa siyo la Dar tu
Kwani walipa kodi mafinga hawapo?
 
RC anaweza kushughulika na changamoto za kikodi pamoja na kurekebisha kodi zinazowanyonya wafanyabiashara?

Ama alipiga mitungi ndo akaenda kwenye mkutano
Mkuu ujui kua RC ni mwakilishi wa Serikali kuu? Sio kua anaweza kutengua bali anaweza kutoa ushauri na suluhu kuhusu malalamiko ya wafanyabiashara.
 
Back
Top Bottom