Mkuu wa Mkoa Dar, hawa Panyaroad watakuharibia kazi..

Mkuu wa Mkoa Dar, hawa Panyaroad watakuharibia kazi..

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
18,042
Reaction score
19,787
Habari wana JF..
Mkuu wa Mkoa wa Dar, fanya hima juu chini, futilia mbali hawa watoto wadogo wahuni watakuharibia kazi, sambaza vyombo vyako vya ulinzi vya mkoa, usiku na mchana, kama wiki nzima, kamata wote, sheria ichukue mkondo wake.
Mh. Makala, nachokiona, ukichelewa kidogo tu, hawa Panyaroad watakuharibia kazi yako nzuri unayofanya kwa Mkoa wa Dar, watakutia doa, na mimi sitaki ufike huko, najua ni mchapa kazi sana, ebu watie adabu, sbb hao panya road ni wezi na majambazi kama majambazi wengine tu. Kazi njema
 
Wamuharibie kazi marangapi..bila mbeleko ya msoga huyo angekua hana chake zamani sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom