Mkuu wa Mkoa Kagera Bi. FATUMA agundua uozo mkubwa, Mbunge BKb Mjini na Meya wakalia kuti Kavu, waanzisha ujenzi Bila Ramani

Kutoka kwa Machali aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya Bukoba Mjini , akafanyiwa figisu baada ya kugundua fedha za halmashauri kupigwa bila huruma. Hapa akimuasa Bi. Fatuma dhidi ya Kamnobile

============
RC FATMA MWASA ALINDWE DHIDI YA WANA KAMNOBELE🤣🤣🤣

Kagera bila ya kuwa na viongozi wabishi dhidi ya wana kamnobele ; yaani watu wenye fitina, Mtimanyongo,na kutengenezeana ajali dhidi ya viongozi wanaotenda haki, inaweza kuendelea ikatoka hapo ilipo. Tatizo kubwa ni kuendekeza wale watu ambao mara nyingi kama siyo zote wamejiaminisha kisha wakawaaminisha na watu wengine kwamba huwa wanaonewa na viongozi wa kuteuliwa kama Wakuu wa Mikoa na Wilaya, nk wanaoamua nyekundu iwe nyekundi au nyeusi iwe nyeusi. Genge hilo huwa lipo hasa hapo Bukoba. Hujifanya lina hati miliki na watu. Linaishi kwa misheni tauni na propaganda za kila aina. Huwa lina tabia ya kuwachafua viongozi wanaoipigania Bukoba kwa haki.

Moto aliouwasha RC Fatma Mwasa lazima utasikia genge hilo linaanza kusema huyu siyo mwenzetu. Anatuvuruga, anakivuruga chama. Hatutakii heri huyu, nk. Ni vizuri sana wana Bukoba na Kagera kwa ujumla mkawakataa hao wana Kamnobele wanaokuwa wakitengeneza vifitina vinavyoirudisha nyuma Kagera. Ni wakati wa wana Bukoba wakajitathmini sasa kuhusu waendelee kuliacha na kuliamini genge la wana Kamnobele linalokuwa linawapiga vita viongozi wa kuteuliwa hasa Wakuu wa wilaya au mikoa wanaoamua kutoendekeza ubabaishaji au wana Bukoba waelewe sasa kwamba genge la wana Kamnobele halifai na walikatae kwa nguvu zote.

Ninajua bayana kwamba wana Kamnobele watakuwa wanaishi kwa msongo wa mawazo baada ya Mhe Fatma Mwasa kuwatandika hadharani bila chenga. Watakuwa wanaona kama wamekabwa balaa. Watakuwa wanapanga mikakati haramu kuhusu namna ya kumfitini ili aonekane mtu mbaya. Hakika hao wapo sana.

Wakataeni wana Kamnobele wanaiyumbisha Bukoba Manispaa. Hao siyo wengine ni wale wale waliokuwa wakisema Machali anawavuruga hafai. JE, leo wataacha kusema kwamba Fatma mwasa hawavurugi? Wana Bukoba mtafakari sana. Nawaeleza ya kwamba Fatma Mwasa ametenda haki kuieleza Bukoba kuhusu watafuna hela. Huyo ni RC chuma kwelikweli
Mlindeni atawaisaidia wana Bukoba na Kagera kwa ujumla. Hanaga kona kabisaa.

Wana Kamnobele waelezwe kuacha janja janja mara moja ili Bukoba Manispaa ipige hatua.
ALAMSIKI
Uko sahihi kabisa bukoba kuna genge limeshajimilikisha ukiligusa tu unaopigwa fitina na majungu na linaenda hadi ngazi ya chini kwa wananchi kukuchonganisha
 
Tatizo la machali wewe ulihama upinzani ukajitumbukiza kwenye genge la hao watu
 
Back
Top Bottom