johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Waangukiwaje bwashee?!
Daraja la kwanza inawaka kama petrol!Kitu kitakuwa na alcol 75% made in tanzania yaani hapo hata .....warusi lazima waje wainunue maana pure ....ukinywa lasiza upozee na maji
sent from toyota Allex
Gongo ya mabibo si mchezo.Kwetu Masasi tunaita NIPA...hiyo Ngoma ni bilaa si mchezo
Warusi nao wanayo Gongo ya kwao, wanaiita SamagonKitu kitakuwa na alcol 75% made in tanzania yaani hapo hata .....warusi lazima waje wainunue maana pure ....ukinywa lasiza upozee na maji
sent from toyota Allex
Kinachofanya Gongo iharamishwe siyo wingi wa alcohol uliopo kwenye kinywaji. Gongo imeharamishwa kwa sababu haizalishwi, kuuzwa na kunywewa kwenye mazingira bora na yaliyokuwa monitored na mamlaka. eg. Kuwa na standard alcohol content inayoeleweka, ubora na usalama wa mali ghafi inayotumika kutengeneza, usafi wakati wa kuzalisha, mazingara ya uuzaji na unywaji kutokuwa rasmi na ugumu katika kufuatilia uzalishaji na unywaji wake. Vipengele vyote hivi vinasababisha mambo kufanyika kiholela na upatikanaji na bei kuwa rahisi na mwisho inaleta madhara kwa afya ya watumiaji wake.k vant is more alcoholic than gongo.. but still k vant is not banned
Ni kweli, kwa mfano gongo ya maranda ya mbao ni hatari sana kwa afya!Kinachofanya Gongo iharamishwe siyo wingi wa alcohol uliopo kwenye kinywaji. Gongo imeharamishwa kwa sababu haizalishwi, kuuzwa na kunywewa kwenye mazingira bora na yaliyokuwa monitored na mamlaka. eg. Kuwa na standard alcohol content inayoeleweka, ubora na usalama wa mali ghafi inayotumika kutengeneza, usafi wakati wa kuzalisha, mazingara ya uuzaji na unywaji kutokuwa rasmi na ugumu katika kufuatilia uzalishaji na unywaji wake. Vipengele vyote hivi vinasababisha mambo kufanyika kiholela na upatikanaji na bei kuwa rahisi na mwisho inaleta madhara kwa afya ya watumiaji wake.
Huko zipo mpaka korosho zenge gongo uzitafuna unalewaGongo ya mabibo si mchezo.
Dsm wanatengeneza ya mapapai!