GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,773
Ukisikia mtu ameangukiwa na Mkorosho kwa Mtwara inamaanisha amekufa kwa gongo.Waangukiwaje bwashee?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisikia mtu ameangukiwa na Mkorosho kwa Mtwara inamaanisha amekufa kwa gongo.Waangukiwaje bwashee?!
Mbona hii kitu ina malighafi nyingi namna hii? Mabibo, maranda ya mbao, Papai, sukari guru, molases, katani etc. Ndo maana ni sumu ya macho, maini na utumbo.Ni kweli, kwa mfano gongo ya maranda ya mbao ni hatari sana kwa afya!
Mkuu wa mkoa wa Mtwara amewatembelea vijana wenye mitambo ya kienyeji ya kuzalisha pombe ya gongo kwa kutumia mabibo.
RC huyo amefurahishwa na ubunifu wa vijana hao na kuchukua sampuli ya gongo hiyo yenye madaraja matatu kwa ajili ya uchunguzi wa kimaabara.
Endapo wataalamu wa maabara wataipitisha basi gongo mkoani Mtwara itarasimishwa na vijana hao watawezeshwa na taasisi za kifedha ili waweze kujenga viwanda vidogo.
Source Channel ten
Maendeleo hayana vyama.
=====
View attachment 1376418
View attachment 1376425View attachment 1376427
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa ametoa wito kwa wananchi wanaojihusisha na utengenezaji wa pombe aina ya gongo ya mabibo kujitokeza ili watambuliwe na bidhaa hiyo iweze kuboreshwa na kuingizwa sokoni.
Ahsante kwa ufafanuzi bwashee!Ukisikia mtu ameangukiwa na Mkorosho kwa Mtwara inamaanisha amekufa kwa gongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kitu ni hatari ukiwasha inawaka kama moto wa gesi ile greenish blue flame.Kitu kitakuwa na alcol 75% made in tanzania yaani hapo hata .....warusi lazima waje wainunue maana pure ....ukinywa lasiza upozee na maji
sent from toyota Allex
Hahahaha!!!!!NIPA=New Improved Pure Alcohol
Hapo ni kuimprove hiyo distallation kuondoa impurities ili iwe clean mwisho wa siku kusini kuchele
Mkuu naweza nikakupa lift. Tutakuwa na safari huko pia. Maana mambo ya ulozi nitakuwa salama pia.Weekend hii naenda huko.. Nitapanda basi la WIFI ama BUTI LA ZUNGU
Jr[emoji769]
Yaweza kuwa ni hoja nzuri lakini inavyofanywa na RC Mtwara inaonekana ni suala lake binafsi. Kiukweli hapa Tanzania pombe ya gongo ni maarufu na inatengenezwa na kuuzwa kila Mkoa kutokana na mali ghafi inayopatikana Mkoa husika.Mkuu wa mkoa wa Mtwara amewatembelea vijana wenye mitambo ya kienyeji ya kuzalisha pombe ya gongo kwa kutumia mabibo.
RC huyo amefurahishwa na ubunifu wa vijana hao na kuchukua sampuli ya gongo hiyo yenye madaraja matatu kwa ajili ya uchunguzi wa kimaabara.
Endapo wataalamu wa maabara wataipitisha basi gongo mkoani Mtwara itarasimishwa na vijana hao watawezeshwa na taasisi za kifedha ili waweze kujenga viwanda vidogo.
Source Channel ten
Maendeleo hayana vyama.
=====
View attachment 1376418
View attachment 1376425View attachment 1376427
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa ametoa wito kwa wananchi wanaojihusisha na utengenezaji wa pombe aina ya gongo ya mabibo kujitokeza ili watambuliwe na bidhaa hiyo iweze kuboreshwa na kuingizwa sokoni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kitu kitakuwa na alcol 75% made in tanzania yaani hapo hata .....warusi lazima waje wainunue maana pure ....ukinywa lasiza upozee na maji
sent from toyota Allex
Walete tunywe tu tile alafu tilaleHuko zipo mpaka korosho zenge gongo uzitafuna unalewa
Huyo kiongozi ana akili sana.Hapo ni kuimprove hiyo distallation kuondoa impurities ili iwe clean mwisho wa siku kusini kuchele
Imefikia wapi ?Mkuu wa mkoa wa Mtwara amewatembelea vijana wenye mitambo ya kienyeji ya kuzalisha pombe ya gongo kwa kutumia mabibo.
RC huyo amefurahishwa na ubunifu wa vijana hao na kuchukua sampuli ya gongo hiyo yenye madaraja matatu kwa ajili ya uchunguzi wa kimaabara.
Endapo wataalamu wa maabara wataipitisha basi gongo mkoani Mtwara itarasimishwa na vijana hao watawezeshwa na taasisi za kifedha ili waweze kujenga viwanda vidogo.
Source Channel ten
Maendeleo hayana vyama.
=====
View attachment 1376418
View attachment 1376425View attachment 1376427
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa ametoa wito kwa wananchi wanaojihusisha na utengenezaji wa pombe aina ya gongo ya mabibo kujitokeza ili watambuliwe na bidhaa hiyo iweze kuboreshwa na kuingizwa sokoni.
Nimecheka sana, yani hilo jiko nalo nikiwanda???viwanda wimeshawashinda unadhani watawaambia nini wananchi,ni lazima wajiongeze
Hiyo tunaiita 'nipa', ukiinywa bila kuipoza inachoma koo na utumbo bila huruma.Daraja la kwanza inawaka kama petrol!
Bwashee, ukipata ile Wamakua wanaita 'ipacho' nakwambia usiombe!Gongo ya mabibo si mchezo.
Hahahaaaa...... Bwashee mimi natumia mbege tu hata konyagi naiogopa!Bwashee, ukipata ile Wamakua wanaita 'ipacho' nakwambia usiombe!
Samples bado ziko kwa mkemia mkuu 🤣🤣Imefikia wapi ?