Mkuu wa mkoa Mtwara awatembelea watengenezaji wa pombe ya Gongo, afurahishwa na kuahidi kukirasimisha kinywaji hicho

Mkuu wa mkoa Mtwara awatembelea watengenezaji wa pombe ya Gongo, afurahishwa na kuahidi kukirasimisha kinywaji hicho

Kumbe ndiyo maana shule zake zimekuwa za mwisho matokeo mtihani wa form four
 
Mkuu wa mkoa wa Mtwara amewatembelea vijana wenye mitambo ya kienyeji ya kuzalisha pombe ya gongo kwa kutumia mabibo.

RC huyo amefurahishwa na ubunifu wa vijana hao na kuchukua sampuli ya gongo hiyo yenye madaraja matatu kwa ajili ya uchunguzi wa kimaabara.

Endapo wataalamu wa maabara wataipitisha basi gongo mkoani Mtwara itarasimishwa na vijana hao watawezeshwa na taasisi za kifedha ili waweze kujenga viwanda vidogo.

Source Channel ten

Maendeleo hayana vyama.

=====

View attachment 1376418
View attachment 1376425View attachment 1376427
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa ametoa wito kwa wananchi wanaojihusisha na utengenezaji wa pombe aina ya gongo ya mabibo kujitokeza ili watambuliwe na bidhaa hiyo iweze kuboreshwa na kuingizwa sokoni.
johnthebaptist njoo mchukue Byakanwa wako mkanywe gongo
 
Back
Top Bottom