Mkuu wa mkoa Mtwara awatembelea watengenezaji wa pombe ya Gongo, afurahishwa na kuahidi kukirasimisha kinywaji hicho

viwanda wimeshawashinda unadhani watawaambia nini wananchi,ni lazima wajiongeze
 
Na dr Slaa aliwahi kusema hivyo, humu jukwaani alitukanwa na wana ccm wengi enzi hizo, sijuwi sababu ilikuwa ni kupinga alicho sema au itikadi yake ya wakati huo.
 
Kila mahali wanatengeneza hii kitu kwa majina tofauti tofauti
  • Tanzania = gongo
  • Congo = lotoko
  • Denmark = hjemmebrændt
  • Croatia =rakija
  • Czeck republic ='slivovice' (pronounced "slivovitze")
  • Finland = vodka,
  • France = Cognac ( inatamkwa Konyac)
  • Kenya = Changaa", "Kumi kumi" or "Kill me quick"
  • Malawi = "kachasu" or "Jang'ala" in Chichewa
  • Saud Arabia = Aragh
Uganda - waragi
 
Kitu kitakuwa na alcol 75% made in tanzania yaani hapo hata .....warusi lazima waje wainunue maana pure ....ukinywa lasiza upozee na maji

sent from toyota Allex
Yep tutakunywa whiskey isio na chemical, pesa kidogo tu unalewa
 
Mwaka huu wa uchaguzi kura zitatafutwa hata kwa wauza msuba
 
Mdogo mdogo mwingine atatembelea shamba la bangi maisha yanaenda kasi sana
 
Kitu kitakuwa na alcol 75% made in tanzania yaani hapo hata .....warusi lazima waje wainunue maana pure ....ukinywa lasiza upozee na maji

sent from toyota Allex
Kwa Mary uzi ya kilevi ni 40% alcohol maximum inaruhusiwa. Zaidi ya hapo ni kwenye science labolatory tu ndiyo inaruhusiwa. Ukinywa unaunguza ini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…