Mkuu wa mkoa Mtwara awatembelea watengenezaji wa pombe ya Gongo, afurahishwa na kuahidi kukirasimisha kinywaji hicho

Ni kweli, kwa mfano gongo ya maranda ya mbao ni hatari sana kwa afya!
Mbona hii kitu ina malighafi nyingi namna hii? Mabibo, maranda ya mbao, Papai, sukari guru, molases, katani etc. Ndo maana ni sumu ya macho, maini na utumbo.
 
Weekend hii naenda huko.. Nitapanda basi la WIFI ama BUTI LA ZUNGU
Jr[emoji769]
 
Kitu kitakuwa na alcol 75% made in tanzania yaani hapo hata .....warusi lazima waje wainunue maana pure ....ukinywa lasiza upozee na maji

sent from toyota Allex
Hiyo kitu ni hatari ukiwasha inawaka kama moto wa gesi ile greenish blue flame.
Nimeona kwa macho yangu, unaweza kutumia kama spirit ya hospital.
 
Yaweza kuwa ni hoja nzuri lakini inavyofanywa na RC Mtwara inaonekana ni suala lake binafsi. Kiukweli hapa Tanzania pombe ya gongo ni maarufu na inatengenezwa na kuuzwa kila Mkoa kutokana na mali ghafi inayopatikana Mkoa husika.

Nashauri liwe suala la Wizara ya viwanda ili kwanza sheria ya kuharamishwa gongo irekebishwe na mwongozo wa kutengeneza, kudhibiti ubora na kusambaza uwekwe kadri ya viwango vya TBS/ TMDA
 
Hapo ni kuimprove hiyo distallation kuondoa impurities ili iwe clean mwisho wa siku kusini kuchele
Huyo kiongozi ana akili sana.
Hongeraaaaaa kwake
 
Imefikia wapi ?
 
Muhimu mchakato ukawa rafiki, wanaweza punguza mauzo ya viwanda vikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…