Mkuu wa mkoa Mtwara awatembelea watengenezaji wa pombe ya Gongo, afurahishwa na kuahidi kukirasimisha kinywaji hicho

Muhimu mchakato ukawa rafiki, wanaweza punguza mauzo ya viwanda vikubwa
Itabidi nao hao 'viwanda vikubwa' waongeze ubora wa bidhaa zao ili kuhimili ushindani. Tuko kwenye uchumi huria (free market) mkuu!
 
Kumbe ndiyo maana shule zake zimekuwa za mwisho matokeo mtihani wa form four
 
johnthebaptist njoo mchukue Byakanwa wako mkanywe gongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…