Pre GE2025 Mkuu wa Mkoa Nawanda: Chama cha Mapinduzi kikubwa kuliko Serikali

Pre GE2025 Mkuu wa Mkoa Nawanda: Chama cha Mapinduzi kikubwa kuliko Serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Note:
Tusome na tufuatilie kwa makini siasa zetu za nchi tujue chimbuko lake ni lipi, mrengo wake ni upi, utendajikazi wake ni upi ndipo tudai mabadiliko.

Tudai mabadiliko kwa vitu tunavyojua madhaifu na uimara wake bila kufanya hivyo tutakuwa tunajilisha upepo.
 
Sidhani kama ana uelewa wa Kati ya Chama na serikali nani kamkuta mwenzie
 
Ni kipi ambacho hujaelewa kwa kauli hiyo ya RC Nawanda ?
Sijaelewa huyo RC ameishia kidato cha ngapi kiasi cha kushindwa kuchanganua mambo kiasi hicho, Serekali ni NDOGO kuliko Chama?
 
Serikali inaendeshwa na Chama.

YUPO SAHIHI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Yupo sahihi kabisa kwa kuwa asilimia zote serikalini zinaongozwa na makada wa ccm
 
Safi sana nataka wakuu wa mikoa wa aina hii wenye kutambua nafasi ya chama na upekee wake. Siyo mwingine kwa kulewa masifa yake huko na ujuaji wa kitoto anataka kukipandishia mabega chama na viongozi wa chama.
 
Back
Top Bottom