Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Leo chama kimemkimbia serikali inamkamua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RC pumbavu yule! Mkiambiwa wanakitumia chama kuficha maovu yao muwe mnaelewa.RC yuko sahihi. Chama ndo kinaunda serikali. Mwenyekiti wa CCM ana nguvu ya kumuondoa Rais madarakani ndo maana hata CCM wakawa wajanja kumpa Rais uenyekiti. Vijana someni katiba yenu ya sasa kabla ya kudai mpya ili mjue mnadai nini.
Kwa Leo anajisaidia kwenye debe bila maji Wala toilet paper ya kutawazia.Aisee kwa hiyo Mheshimiwa anaishi wapi Kwa sasa?
Kweli kabisa tunawataka wakuu wa mkoa aina hii 😄Safi sana nataka wakuu wa mikoa wa aina hii wenye kutambua nafasi ya chama na upekee wake. Siyo mwingine kwa kulewa masifa yake huko na ujuaji wa kitoto anataka kukipandishia mabega chama na viongozi wa chama.