Pre GE2025 Mkuu wa Mkoa Nawanda: Chama cha Mapinduzi kikubwa kuliko Serikali

Pre GE2025 Mkuu wa Mkoa Nawanda: Chama cha Mapinduzi kikubwa kuliko Serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
RC yuko sahihi. Chama ndo kinaunda serikali. Mwenyekiti wa CCM ana nguvu ya kumuondoa Rais madarakani ndo maana hata CCM wakawa wajanja kumpa Rais uenyekiti. Vijana someni katiba yenu ya sasa kabla ya kudai mpya ili mjue mnadai nini.
 
Safi sana nataka wakuu wa mikoa wa aina hii wenye kutambua nafasi ya chama na upekee wake. Siyo mwingine kwa kulewa masifa yake huko na ujuaji wa kitoto anataka kukipandishia mabega chama na viongozi wa chama.
Wakati ndio wamekipigania Chama Mpaka kikashika dola naye akapata hayo madaraka.

Bashe kafanya kasa la kitaalamu! Kajiingiza shimoni mwenyewe!

Mchengerwa ni mkwe wa namba 1 lkn alipoelekezwa na Makonda faster kesho yake alikuwa Kagera hata hakuonesha kiburi cha kijinga lkn hakupungukiwa na kitu.

Bashe karuhusu Jaziba kuongoza fikra pevu!
 
Note:
Tusome na tufuatilie kwa makini siasa zetu za nchi tujue chimbuko lake ni lipi, mrengo wake ni upi, utendajikazi wake ni upi ndipo tudai mabadiliko.

Tudai mabadiliko kwa vitu tunavyojua madhaifu na uimara wake bila kufanya hivyo tutakuwa tunajilisha upepo.
Tusaidie mkuu. Hiki ulichoandika kinahusiana vipi na mada? Mm umeniacha mbali
 
Uzi umefufuka tena HUU 😂 mtu HUYU HUYU ndio kamf-ra mtu HUKO Simiyu duuuh kweli CCM kubwa kuliko Serikali na ukizingua wanakuf-ra, Nawanda yamemkuta majambo
 
Note:
Tusome na tufuatilie kwa makini siasa zetu za nchi tujue chimbuko lake ni lipi, mrengo wake ni upi, utendajikazi wake ni upi ndipo tudai mabadiliko.

Tudai mabadiliko kwa vitu tunavyojua madhaifu na uimara wake bila kufanya hivyo tutakuwa tunajilisha upepo.
Sijakuelewa kwa HIO amemf-ra au hajamf-ra?
 
Safi sana nataka wakuu wa mikoa wa aina hii wenye kutambua nafasi ya chama na upekee wake. Siyo mwingine kwa kulewa masifa yake huko na ujuaji wa kitoto anataka kukipandishia mabega chama na viongozi wa chama.
Kama watu wenyewe ndio hao; kazi ipo! Majizi na mifirauni imejazana humo endelea kuiimbia mapambio!
 
Back
Top Bottom