Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Fafanua ulichokiandika kikubwa kivipi? Chama hutokiacha mpaka kikuache? Serekali inaundwa na Chama?Note:
Tusome na tufuatilie kwa makini siasa zetu za nchi
Wewe unaona nani alianza kati ya serikali na Chama ?Sidhani kama ana uelewa wa Kati ya Chama na serikali nani kamkuta mwenzie
Ni kipi ambacho hujaelewa kwa kauli hiyo ya RC Nawanda ?Fafanua ulichokiandika kikubwa kivipi? Chama hutokiacha mpaka kikuache? Serekali inaundwa na Chama?
Bashe vesus Makonda battleKwa hio unamaanisha nini kwa mfano?
Kwa hio yeye huyo RC kaamua kukaa upande gani hapo?Bashe vesus Makonda battle
Serekali ya Jamhuri uwe unatuliza kwanzaSerikali ya CCM
Mimi sio CCM, lakini kuna kitu kinaitwa chama tawala.Serekali ya Jamhuri uwe unatuliza kwanza
Sijaelewa huyo RC ameishia kidato cha ngapi kiasi cha kushindwa kuchanganua mambo kiasi hicho, Serekali ni NDOGO kuliko Chama?Ni kipi ambacho hujaelewa kwa kauli hiyo ya RC Nawanda ?
Serekali ya Jamhuri usilete habari zako tuliza kwanzaMimi sio CCM, lakini kuna kitu kinaitwa chama tawala.
Kwa hio na wewe unasema kwamba Serekali ni NDOGO kuliko Chama?Yupo sahihi kabisa kwa kuwa asilimia zote serikalini zinaongozwa na makada wa ccm
Aina hiyo ya swali jiulize kwanza weweSijaelewa huyo RC ameishia kidato cha ngapi kiasi cha kushindwa kuchanganua mambo kiasi hicho, Serekali ni NDOGO kuliko Chama?