RC yuko sahihi. Chama ndo kinaunda serikali. Mwenyekiti wa CCM ana nguvu ya kumuondoa Rais madarakani ndo maana hata CCM wakawa wajanja kumpa Rais uenyekiti. Vijana someni katiba yenu ya sasa kabla ya kudai mpya ili mjue mnadai nini.
Kwa Leo anajisaidia kwenye debe bila maji Wala toilet paper ya kutawazia.
Yaani akimaliza kukata gogo anapandisha boxer akiwa haha tawadha.
Kama ana swali, Leo ataswali bila kutawadha.
Halafu kwasababu hii kesi mama anaijua, hutaona MTU mkubwa wa serikali akimtetea Yahya kwa namna yoyote.
Leo Yahaya kawa shetani.
Safi sana nataka wakuu wa mikoa wa aina hii wenye kutambua nafasi ya chama na upekee wake. Siyo mwingine kwa kulewa masifa yake huko na ujuaji wa kitoto anataka kukipandishia mabega chama na viongozi wa chama.