Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe, Francis Kasavubu Michael ni Mtanzania? Niliposikia jina hili wakati yupo katibu Wizara ya sayansi nilijiuliza hili swali ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Wewe ni kenge kabisa, kuna watoto wapo bongo wanaitwa Clinton, je wake kuwa wamarekani!?
Je Barack Obama ni, M Kenya?
Wakaristo wana majina ya kiyahudi, ki Italiano, je wake kuwa wa Israel?
 
Back
Top Bottom