Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Nimesoma naye darasa moja PS 1999
Master's alibadili na kusoma MBA na alifanya vizuri sana na wakampa ajira huko
Ni Mwalimu by professional na alikuja mlimani akitokea kazini
Alikuwa mshauri wetu mzuri sana sisi tuliotokea high school moja Kwa moja
Rafiki yake mkubwa darsani ambaye naye akitokea kazini akiwa ofisa wa magereza ni Mkuu wa Magereza Mstaafu Balozi Kasika
Ni sawa na Dkt Bashiru nayeye ni Mwalimu by professional na alisoma PS akitokea kazini (2000)
Ni mtu wa Kigoma kwa asili and he's a gentleman
Ni Kiongozi mzuri sana na yuko poa sana, hana dharau kabisa na mtu wa msaada sana.
Alikuwa Vice president wa Daruso huku Kitila Mkumbo akiwa President
Nilikuwa member wa team yake ya kampeni
Alipata shida kidogo na hilo Jina la Kasavubu lakini alikuwa cleared na akashinda kwa kishindo