Kwao ni huko mpakani, mke wake ni wa kasulu.Pole kama hujui uwe unaefuatilia habari,huo ndio ukweli Warundi walifurahia na alialikwa Burundi..
Kwa taarifa Yako ana ndugu Hadi Burundi.
Japo nae licha ya kuwa na nafasi kubwa ila hakuna alichofanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwao ni huko mpakani, mke wake ni wa kasulu.Pole kama hujui uwe unaefuatilia habari,huo ndio ukweli Warundi walifurahia na alialikwa Burundi..
Kwa taarifa Yako ana ndugu Hadi Burundi.
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...
Kuna anaemjua vizuri hapa
A
ngekua Aballah, Hamisi au Hamza usingehoji ulivyo mdini.
Hili swali lingeylizwa na Luka juu ya Hamisi ungetetea.
Sikuwahi kujua u mdini kiasi hi
Ngozi nyeusi bana hamna kitu kabisa, inchi hii warabu na waindi ni wengi sana hadi serekalini na majina yao ni ya kiarabu na kiindi na walio wengi wanaendaga likizo Oman kama nyumbani kwao ila hawajawai kubaguliwa hata kidogo, ila utakuta mtanzania real wa baba na mama anabaguliwa kisa katokea kigoma.Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...
Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Japo unajiona mwerevu na mahiri lakini ukweli ni zezeta tu,hakuna jasusi yeyote anayeweza kukupa mwanya wa kuhisi chochote wala kutilia shaka kuhusu yeye na hili uweze kumgundua inatakiwa umakini mkubwa, Sasa leo wanatokea wapuuzi wachache wanafikiri eti kiongozi fulani sio raia kwa sababu tu jina lake linafanana na watu wa nchi jirani,hivi una akili kweli!.Nimechagua kuwa mjuaji na wewe umechagua kuwa kilaza, hapo hakuna tatizo baki na ukilaza wako kama unakufaa.
Turudi kwenye mada, kuna tatizo gani Mtanzania akiuliza taarifa za wazi za kiongozi wa serikali?
Kuna maficho gani yanafanyika kutaja jina la kiongozi na asili yake. Mwaka 1961 tulimpata Kambarage na jina lake tunajua linatoka wapi likimaanisha nini, mwaka 2023 inakuwa ugomvi kuulizwa kwa jina la kiongozi.
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...
Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Je kuzaliwa ndani ya Tanzania inatosha kufanya mtu kuwa Mtanzania?Mtanzania kwa kuzaliwa
Mzaliwa wa Kasulu-Kigoma
Francis Michael Kasavubu kazaliwa ndani ya Jamhuri ya TZ
Utanzania ni upi? Au ulitaka usikie jina la kibantu umekariri kakaMkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...
Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
NdioUnataka kumtengua? Au
Utanzania ni upi? Au ulitaka usikie jina la kibantu umekariri kaka
kwahiyo ni MtzMtu ataitwa mtz kama katimiza mambo makubwa matatu
1- Kazaliwa ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa TZ
2-Mzazi wake mmoja au wote walikua watz siku anazaliwa
3-Kazaliwa na wazazi watz akiwa nje ya TZ ambapo mzazi wake kapelekwa nje kwa shughuli za kiserikali,mfano mzazi mmoja ni balozi Japan na wamepata mtoto huko Japan
Kuhusu huyu RC ana sifa 2 za juu
Unadhani muasia akiwa kiongozi ni kesi, kesi ni pale mwenye asili ya congo, Rwanda,Burundi, Kenya, Malawi na Msumbiji na Mganda hapo jamii F hapakaliki.Uraia haumundolei mtu asili yake ndio maana kuna watanzania wenye asili ya Asia
Watu wate waishio mipakani lazima majina yanajitokeza sehemu mbili hata ukoo unakuta ukoo uko nchi flan ukivuka mpaka ukoo huohuo unaukuta nchi nyongine.Watu wa Kigoma, Ngara na Biharamulo probably hata Karagwe wengi wao utadai si Wabongo.
Vipi majina ya Kikurya, Kimeru, Kimasai, Kimakonde, Kinyasa(Mbamba bay), Kinyamwanga, Kinyiha, Kidigo nao pia tuwatoe Utanzania kwani majina yao yako kwetu na kwa majirani pia yapo.
Je wale raia wa kuhamia na kuomba uraia si ni raia pia, vipi wale ambao babu zao walihamia? Ni sawa kumchunguza mtu kama unamtilia shaka hata kama ubini wake ni Mazengo lakini jina pekee haliwezi kuwa sababu na mtu wa 'kufoji' uraia cha kwanza huwa anabadilisha jina ili asistukiwe.
Utetezi wa kitoto huu.Ni Mtanzania by Birth Mha wa Kigoma. Kwa wale tuliopitia UDSm tunamfahamu alikuwa Lecturer akifundisha HRM na Mengineyo Kwa muda mrefu. Ameandika Machapisho Mengi tuu juu Management Principles.
Francis Michael was the UDASA Chairman from 2012 to 2014. He is currently the Deputy Permanent Secretary (DPS) in the President’s Office Public Service Management and Good Governance (PO- PSM&GG).
Before his appointment as a DPS in 2019, he was a Lecturer at the University of Dar es Salaam Business School in the Department of General Management. He holds a PhD in Human Resource Management (HRM), a Master of Business Administration, and a Bachelor of Arts in Public Administration, all from the University of Dar es Salaam. Also, he has a Licentiate degree (MPhil) in HRM from Umea Sweden and a Postgraduate Diploma in Law from the University of Dar es Salaam (UDSM), which is an important qualification for an HRM career practice.
Prior to joining the UDSM for undergraduate studies, he obtained a Diploma in Education from Marangu Teachers College. His research and areas of expertise include HRM, Industrial Relations, Corporate Governance and all other Behavioural Sciences related fields of study.
Dr Michael has held positions in various public organisation’s boards of directors, including The University of Dar es Salaam Council, the Board of Tanzania Ports Authority (TPA) for two different terms, and the Board of Tanzania Workers Compensation Fund (WCF). He held the chairperson position of the Researchers’ Academicians and Allied Workers Union (RAAWU) at the UDSM branch for several terms and was a member of the national executive committee of the Trade Unions Confederation of Tanzania (TUCTA). As a DPS, he sits on the country’s high-level decision-making platforms like the Inter-Ministerial Technical Committee (IMTC).
Dr Michael and his HRM expert counterpart, the late Dr Cleo Ngirwa, constituted for the first time the HRM program at the UDSM and a number of other higher learning institutions in the country.
In his private time, Dr Michael likes to play basketball and read books.
1. Hii namba Moja sio kweli maana wageni kibao wanazaliwa ndani ya ardhi ya Tanzania ila sio WatanzaniaMtu ataitwa mtz kama katimiza mambo makubwa matatu
1- Kazaliwa ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa TZ
2-Mzazi wake mmoja au wote walikua watz siku anazaliwa
3-Kazaliwa na wazazi watz akiwa nje ya TZ ambapo mzazi wake kapelekwa nje kwa shughuli za kiserikali,mfano mzazi mmoja ni balozi Japan na wamepata mtoto huko Japan
Kuhusu huyu RC ana sifa 2 za juu
Ni Max Webber, ex lecturer UDSM aka Jalalani. Nyavuni huyo.Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...
Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Unaacha kulalamika waarabu na wahindi unalalamika mweusi mwenzio akipewa cheo. Stupid. Kwani Congo si jirani? mipaka ni ya wakoloni, kabla ya hapo tulikuwa kitu kimoja, ni ndugu.Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...
Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Hata yeye anajua. Salama yake iko huko ccm.Hahahaha...huyo salama yake hasijehamia upinzani, manake TRA na Uhamiaji watapiga hodi.....