Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

Navyofahamu Dr.Francis ni mzima sana kichwani na ni Mtendaji mzuri sana...yaani ni wale watu ambao wana uwezo wa kuanzisha jambo..na kulisimamia mpaka mwisho...hata kitaalum alianzia kuwa Mwalimu huko akajiendeleza mpaka kuwa na PHD..(unaweza kuona alivyo na
Kwamba amejiendeleza kutoka mwalimu mpaka PhD, kwamba sijui ni mzima kichwani, anaweza kusimamia jambo...... We dont give a rats arse!

Katiba haisemi mhamiaji haramu kama ni mzima kichwani atapewa exemption ya utumishi wa umma. Tunataka ethnic extraction, period. CV nzuri aipeleke Burundi, they need him more than we do, watamshukuru.

Mzima kichwani kwa nn shule za chini alizingua kabla ya kujiendeleza ????? Aonyeshe lilipo kaburi la bibi yake.
 
Kwa kidogo ninachokifahamu...huyu Jamaa ni Mtanzania...origin yake kama sikosei ni Kigoma(nt sure)...ila huko nyuma aliwahi kuwa pale UDSM kama Lecturer...,Magu ndie aliemuintroduce Serikalini...alianzia kuwa mjumbe wa Bodi TPA .. akaja Naibu Katibu Mkuu..kipindi hicho hicho cha Magu...ndio mpaka leo hapa...
Navyofahamu Dr.Francis ni mzima sana kichwani na ni Mtendaji mzuri sana...yaani ni wale watu ambao wana uwezo wa kuanzisha jambo..na kulisimamia mpaka mwisho...hata kitaalum alianzia kuwa Mwalimu huko akajiendeleza mpaka kuwa na PHD..(unaweza kuona alivyo na juhudi)

Kilichonishangaza sijui kafanya kosa gani hapo...manaake nilisikia kuwa alipewa hiyo nafasi ya KM-ELIMU kwa sababu ya Restructuring inayoendelea kwenye mfumo wa Elimu kutokana na Uwezo alio nao..
Nadhani unafahamu hata Waziri wake nae anasemekana ni kichwa fulani hv...kwa wanaomfahamu...kwa hiyo nadhani combination yao ilidhaniwa ingefanya kitu kizuri...(Wasalam...nilipokosea si kwa makusudi kwani baadhi hasa sifa za academic ni za kuhadithiwa na watu waliosoma nae)

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Kwa kiasi flani umepatia lakini asili yake si Kigoma bali ana jamaa zake wengi hapo.
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Watu wa Kigoma, Ngara na Biharamulo probably hata Karagwe wengi wao utadai si Wabongo.
Vipi majina ya Kikurya, Kimeru, Kimasai, Kimakonde, Kinyasa(Mbamba bay), Kinyamwanga, Kinyiha, Kidigo nao pia tuwatoe Utanzania kwani majina yao yako kwetu na kwa majirani pia yapo.
Je wale raia wa kuhamia na kuomba uraia si ni raia pia, vipi wale ambao babu zao walihamia? Ni sawa kumchunguza mtu kama unamtilia shaka hata kama ubini wake ni Mazengo lakini jina pekee haliwezi kuwa sababu na mtu wa 'kufoji' uraia cha kwanza huwa anabadilisha jina ili asistukiwe.
 
Mkuu kwani huyo Osama unayemsema ni jina lake la ukoo, au huyo Mandela ni jina lake la ukoo?
Nimesoma na jamaa anaitwa Saddam Hussein ila jina lake la ukoo ni la kibongo, hapa hatusemi majina ya kuokoteza uko Ulaya na Uarabuni au wapi. Tunasema jina la ukoo ambalo ndio uhalisia wa mtu.

Hivihivi tulijikuta tuna Kanali wa JW ni Mnyarwanda na anatuma taarifa kwa Kagame, alitoroka na sasa ana cheo kikubwa uko kwao. Hivi hivi Syria ilijikuta na Eliyahu Cohen Myahudi pure aliyejifanya anaitwa Kamel Amin alafu akawa mshauri wa usalama na mmojawapo wa vigogo serikalini. Mtu anauliza kujua background ya kiongozi serikalini anatokea muuza gongo analalamika. Hii nchi imejaa vilaza watupu.

Congo hawakuuliza uraia wa maofisa wao serikalini wakajikuta wamejaza Wanyarwanda kila idara. Last month mshauri wa Rais kapigwa msako kakutwa na passport ya siri kutoka Rwanda na ana documents za nyumba anazomiliki uko, yuko under arrest.
Umetoa mfano mzuri wa huyo muisrael ambaye alijipachika jina linalofanana na jamii ya Syria na alifanya hivyo ili asitambulike kwahiyo hata hapa kwetu nina imani adui yeyote hawezi kujiweka katika hali ya kutiliwa shaka ndio maana watu wanambeza mleta uzi kwa sababu huyo angekuwa jasusi hawezi tena kutumia jina la kwao kiasi cha kumtilia shaka.
 
A

ngekua Aballah, Hamisi au Hamza usingehoji ulivyo mdini.
Hili swali lingeylizwa na Luka juu ya Hamisi ungetetea.

Sikuwahi kujua u mdini kiasi hiki.
Nilishasign out ila umenirudisha maana jana nilicomment kitu aina hii hii,, huyu mzee ni mdini haswa, tena awami hii ya maza ndo anatumia nini sijui kufikiri, huenda ndie mume wa madam prezidaa maana dah ukimsoma ni matope tu
 
Wewe dogo mimi sijakurupuka kukuita mdini.
Nimetrack rekodi zako sana tangu awamu zingine na mtazamo wako kuhusu imani za dini awamu hii.
Hapa unajikosha bure tu.
Tuachane na huu upuuzi tuendelee na mengine
Nilidhani namuona hivyo peke yangu, jamaa famba sana
 
Nilishasign out ila umenirudisha maana jana nilicomment kitu aina hii hii,, huyu mzee ni mdini haswa, tena awami hii ya maza ndo anatumia nini sijui kufikiri, huenda ndie mume wa madam prezidaa maana dah ukimsoma ni matope tu
Siongezi neno nilishafunga mjadala huu
 
Hatukua makini 2015 na mayokeo yake tuliyaona, hivi mleta mada kakosea wapi kuuliza?
Nani hajui madhara ya 2015 kuchomeka Mrundi madarakani na tuliyokutana nayo hadi Mungu akagundua kuwa sisi ni taifa la hovyo akatupigania?
Tuache maamuzi ya kichovu, hawa outsider tujichunge nao sana
 
Hii ndio ilikuwa basis ya Swali la The Boss.

Kwenye ulimwengu huu wa kijasusi unaweza kukuta Agenti wa Kenya anakuwa Rais wa Tanzania😅😅
Sasa watu wanataka kuchukulia poa tu kwa sababu wanajua kazaliwa Tz na kukulia pia. Kumbe kuna wakati hawasahau asili zao.
 
Sahihi.
Lkn mbona sisi tukiongoza hatuwasimangi wala kuwabagua?
Sitaki tujadili sana huko maana ni mjadala mpana sana, ila kwa hili ni heshima ya ID yake tu ndo inafanya tumshangae sikutegemea km ni mtu anaeendeshwa na mihemko ya kidini tena katika kila jambo na bora hapa walau waweza sema anatetea utz, kuna mada inamzungumzia mtoto wa madam prezidaa kukwepa kodi,,kasome boko alilitoa humo😂
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe
Francis Kasavubu Michael...ni Mtanzania??niliposikia jina hili wakati yupo katibu wizara ya sayansi. Nilijiuliza hili swali..ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?...

Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Ni Mtanzania by Birth Mha wa Kigoma. Kwa wale tuliopitia UDSm tunamfahamu alikuwa Lecturer akifundisha HRM na Mengineyo Kwa muda mrefu. Ameandika Machapisho Mengi tuu juu Management Principles.
Francis Michael was the UDASA Chairman from 2012 to 2014. He is currently the Deputy Permanent Secretary (DPS) in the President’s Office Public Service Management and Good Governance (PO- PSM&GG).

Before his appointment as a DPS in 2019, he was a Lecturer at the University of Dar es Salaam Business School in the Department of General Management. He holds a PhD in Human Resource Management (HRM), a Master of Business Administration, and a Bachelor of Arts in Public Administration, all from the University of Dar es Salaam. Also, he has a Licentiate degree (MPhil) in HRM from Umea Sweden and a Postgraduate Diploma in Law from the University of Dar es Salaam (UDSM), which is an important qualification for an HRM career practice.

Prior to joining the UDSM for undergraduate studies, he obtained a Diploma in Education from Marangu Teachers College. His research and areas of expertise include HRM, Industrial Relations, Corporate Governance and all other Behavioural Sciences related fields of study.

Dr Michael has held positions in various public organisation’s boards of directors, including The University of Dar es Salaam Council, the Board of Tanzania Ports Authority (TPA) for two different terms, and the Board of Tanzania Workers Compensation Fund (WCF). He held the chairperson position of the Researchers’ Academicians and Allied Workers Union (RAAWU) at the UDSM branch for several terms and was a member of the national executive committee of the Trade Unions Confederation of Tanzania (TUCTA). As a DPS, he sits on the country’s high-level decision-making platforms like the Inter-Ministerial Technical Committee (IMTC).

Dr Michael and his HRM expert counterpart, the late Dr Cleo Ngirwa, constituted for the first time the HRM program at the UDSM and a number of other higher learning institutions in the country.

In his private time, Dr Michael likes to play basketball and read books.
 
Back
Top Bottom