Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
well done gentlemanWadau hamjamboni nyote
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda anaelekea Wilaya ya Longido katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kusikiliza kero za wananchi.
Ziara hiyo ya siku sita imeanza leo Mei 23 na itamalizika Mei 30, 2024.
Viva Paul Makonda
HIVI LEMA SASAHIVI HAFANYI MIKUTANO YAKE TENA? HAHAAAA KIMYA NYAU YULE ALIKUWA ANASUMBUA KAJA MWANAMME SASA KAWA KIMYAWadau hamjamboni nyote
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda anaelekea Wilaya ya Longido katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kusikiliza kero za wananchi.
Ziara hiyo ya siku sita imeanza leo Mei 23 na itamalizika Mei 30, 2024.
Viva Paul Makonda
Boss naomba kaziAsimamie vizuri hoteli zetu hapo Arusha, pamoja na ile tuliyonunua kwenye mnada na tunayojenga Karatu