Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuzungumza na wanahabari kuhusu Ripoti yake ya Miezi Sita

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuzungumza na wanahabari kuhusu Ripoti yake ya Miezi Sita

BabaMia

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2024
Posts
270
Reaction score
554
RIPOTI YA MIEZI 6 YA MHE. PAUL MAKONDA (MKUU WA MKOA WA ARUSHA)

Mhe. Paul MAKONDAAtazungumza na Waandishi wa Habari Jumapili Novemba 17, 2024 Ukumbi wa Simba Hall AICC - ARUSHA Kuanzia Saa 9 Kamili Mchana.

TUKIO HILI KUBWA LITAKUA LIVE KUPITIA @WASAFITV NA YOUTUBE WASAFIMEDIA .

#RipotiYaMiezi6 #Arusha

1731492309835.jpg
 
Haya sasa makubwa.
Report za utekelezaji wa majukumu zinasomwa mbele ya press jamani?
Atuambie targets vs achievements ili tupime.
Bila shaka mamlaka yake ya uteuzi inapwqya. Manake walitakiwq wote waafanye hivyo.
 
Ni bora huyo anayefanya kwa uwazi. Kama utakuwa na maswali nenda kaulize. Haya mambo ya kujifungia ofisini ndio maana mpaka leo bado tupo masikini
 
Na wengine waige.

Huyu wa kwetu kazi yake kukimbizana na madada poa tu.
 
Back
Top Bottom