Usiandikie mate na wino upo. Subiri siku ifike.Haya sasa makubwa.
Report za utekelezaji wa majukumu zinasomwa mbele ya press jamani?
Atuambie targets vs achievements ili tupime.
Bila shaka mamlaka yake ya uteuzi inapwqya. Manake walitakiwq wote waafanye hivyo.
Ni bora huyo anayefanya kwa uwazi. Kama utakuwa na maswali nenda kaulize. Haya mambo ya kujifungia ofisini ndio maana mpaka leo bado tupo masikiniHaya sasa makubwa.
Report za utekelezaji wa majukumu zinasomwa mbele ya press jamani?
Atuambie targets vs achievements ili tupime.
Bila shaka mamlaka yake ya uteuzi inapwqya. Manake walitakiwq wote waafanye hivyo.
Ndiyo utaratibu ulivyo kwenye public services ya tz?Ni bora huyo anayefanya kwa uwazi. Kama utakuwa na maswali nenda kaulize
Usiwe unapenda kukariri kama kasuku. Huo utaratibu upoNdiyo utaratibu ulivyo kwenye public services ya tz?