Kiukweli wewe ni kiongozi bora sana umeufanya mkoa wa Arusha kuwa bora binafsi nakuona ukienda kuwa kiongozi mkubwa zaidi serikali baada ya mwezi wa kumi mwaka huu 2025. Mungu akusaidie hii ndoto itimie. Mimi ni moja ya vija wako kutoka Arusha ninaye kukubali sana kutokana na utendaji wako wa kazi. Viva Makonda viva