Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda

Machaare

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2022
Posts
821
Reaction score
2,021
Kiukweli wewe ni kiongozi bora sana umeufanya mkoa wa Arusha kuwa bora binafsi nakuona ukienda kuwa kiongozi mkubwa zaidi serikali baada ya mwezi wa kumi mwaka huu 2025. Mungu akusaidie hii ndoto itimie. Mimi ni moja ya vija wako kutoka Arusha ninaye kukubali sana kutokana na utendaji wako wa kazi. Viva Makonda viva
 
Thread toka saa6 reply1...kuna shida sehemu na hiyo Makonda wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…