Pre GE2025 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, usitutishe

Pre GE2025 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, usitutishe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Daisam

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
2,625
Reaction score
3,141
Tutaandamana tu. Wewe hujui shida zetu. Unalishwa na Serikali, nyumba ya Serikali, Gari la Serikali, umeme, maji nk. vinagharimiwa na Serikali.

Huwezi kujua shida zetu sisi Wananchi. Wewe ni mnufaika wa shida zetu Wananchi. Kaa kimya.
 
Naungana nawewe kwenye hili Mkuu wangu.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Hv chadema wakitangaza maandamano ndio mnajua maisha ya wananchi ni magumu huku viongozi wanaishi vizuri.? Bila chadema hua hamyajui hayo.?
 
We Kama umepanga kujigeuza takataka wamesema watakuzoa
Btw Yuko kwake masaki,anakunywa wine 🍷 huku akiimba zaburi sebuleni kwenye mjengo wake mpyaa🤣🤣
 
Back
Top Bottom