D Daisam JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 2,625 Reaction score 3,141 Jan 15, 2024 #1 Tutaandamana tu. Wewe hujui shida zetu. Unalishwa na Serikali, nyumba ya Serikali, Gari la Serikali, umeme, maji nk. vinagharimiwa na Serikali. Huwezi kujua shida zetu sisi Wananchi. Wewe ni mnufaika wa shida zetu Wananchi. Kaa kimya.
Tutaandamana tu. Wewe hujui shida zetu. Unalishwa na Serikali, nyumba ya Serikali, Gari la Serikali, umeme, maji nk. vinagharimiwa na Serikali. Huwezi kujua shida zetu sisi Wananchi. Wewe ni mnufaika wa shida zetu Wananchi. Kaa kimya.
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Jan 15, 2024 #2 Hakuna wa kuandamana bongo
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Jan 15, 2024 #3 Naungana nawewe kwenye hili Mkuu wangu. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Jan 15, 2024 #4 Hv chadema wakitangaza maandamano ndio mnajua maisha ya wananchi ni magumu huku viongozi wanaishi vizuri.? Bila chadema hua hamyajui hayo.?
Hv chadema wakitangaza maandamano ndio mnajua maisha ya wananchi ni magumu huku viongozi wanaishi vizuri.? Bila chadema hua hamyajui hayo.?
Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 3,906 Reaction score 2,902 Jan 15, 2024 #5 Hii nchi sijui nani aliiroga dah!
Ironbutterfly JF-Expert Member Joined Feb 5, 2023 Posts 3,042 Reaction score 8,227 Jan 15, 2024 #6 We Kama umepanga kujigeuza takataka wamesema watakuzoa Btw Yuko kwake masaki,anakunywa wine 🍷 huku akiimba zaburi sebuleni kwenye mjengo wake mpyaa🤣🤣
We Kama umepanga kujigeuza takataka wamesema watakuzoa Btw Yuko kwake masaki,anakunywa wine 🍷 huku akiimba zaburi sebuleni kwenye mjengo wake mpyaa🤣🤣