tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,323
Taarifa za michezo ya Ndondo Cup kuchezewa uwanja wa Kinesi badala ya Bandari haijatolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar kama baadhi ya wana JF wanavyo ihabarisha umma wa wanamichezo na kuhusisha jambo hilo na yaliyotokea siku za nyuma kati ya Clouds media na Mkuu wa Mkoa wa Dar.
Na mpaka Sasa hakuna aliyetoa sababu za kutochezwa kwa mashindano hayo uwanja wa Bandari baada ya ukarabati kufanyika.
Taarifa iliyotolewa na Clouds Media kupitia kwa Shafii Dauda ni kuwa mechi za 16 bora zitachezwa uwanja wa Kinesi Shekilango mpaka taarifa zitakapotolewa vinginevyo.