Mkuu wa Mkoa wa Dar hajazuia mashindano ya Ndondo Cup kuchezwa uwanja wa Bandari Wilaya ya Temeke

Mkuu wa Mkoa wa Dar hajazuia mashindano ya Ndondo Cup kuchezwa uwanja wa Bandari Wilaya ya Temeke

Taarifa za michezo ya Ndondo Cup kuchezewa uwanja wa Kinesi badala ya Bandari haijatolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar kama baadhi ya wana JF wanavyo ihabarisha umma wa wanamichezo na kuhusisha jambo hilo na yaliyotokea siku za nyuma kati ya Clouds media na Mkuu wa Mkoa wa Dar.

Na mpaka Sasa hakuna aliyetoa sababu za kutochezwa kwa mashindano hayo uwanja wa Bandari baada ya ukarabati kufanyika.

Taarifa iliyotolewa na Clouds Media kupitia kwa Shafii Dauda ni kuwa mechi za 16 bora zitachezwa uwanja wa Kinesi Shekilango mpaka taarifa zitakapotolewa vinginevyo.
Ulitaka aje kukwambia mwenyewe?
 
Kwanini Watu wa JF ni maamuzi mbele. Hii ni mbaya sana. Watz wanapenda sana Umbeya wanatunga wanasambaza. Ila ukiona mwanamke anakufuata fuata lakini Huku anapiga kelel hakupebdi ujue huyo anataka aliwe tu. Na Makonda Atawala tu. Mana mnampenda. Kwanini Msiwaze kuwa Labda Ruge ndo kazuia kisa kajua Makonda ndo kahusika. Wapumbavu sana nyie
 
Huyu mleta mada anataka ma likes na mafolowazi kama bosi wake bashite. Sasa umeshindwa kuconect dots hapo
 
Nawaza siku Sizonje kamaliza madaraka huyu Bashite atakuwa katika hali gani?
 
n
Mbna mnapenda kumzushia sana Mkuu wa mkoa mbna anafanya mengi mema kwa ajili ya mkoa huu kuliko hata wabunge na mameya waliopo kuweni na roho ya hisani sio kila linalotokea mnamrushia mpira hata uthibitisho hamna kama angekuwa amezuia clouds si wangesema hebu acheni mambo ya ajabu yasiyoeleweka mkuu wa mkoa kazindua hosp juzi tuu na hazijaisha siku nyingi kuna pikipiki zinatolewa kusaidia huduma za jamii

Hebu badiliken wabongo

Post sent using JamiiForums mobile app
Nasikia na tamasha la fiesta wamelupiga pini hadi wakubali kuanda muvi za ushirawadu kutoka kwa bashite ili kuwadhalilisha wapinzani
 
Huyu mleta mada anataka ma likes na mafolowazi kama bosi wake bashite. Sasa umeshindwa kuconect dots hapo
Hoja isiyo na mashiko hiyo.Nasimama na msimamo wangu always.

Sikujiunga JF kwa ajili ya likes na followers Mimi siyo kama baadhi ya watumishi wa Mungu wanaotafuta waumini.
 
Nalijua hilo na sina shaka nalo ila tutoe taarifa zenye uthibitisho na siyo kuandika kwa hisia.

Hata Shafii Dauda hajaandika kuwa Mkuu wa Mkoa amesitisha mashindano hayo kufanyika uwanja wa Bandari
Ww ni kau ... Na bashite wako pia
 
Back
Top Bottom