Mkuu wa Mkoa wa Dar hajazuia mashindano ya Ndondo Cup kuchezwa uwanja wa Bandari Wilaya ya Temeke

Mkuu wa Mkoa wa Dar hajazuia mashindano ya Ndondo Cup kuchezwa uwanja wa Bandari Wilaya ya Temeke

Taarifa za michezo ya Ndondo Cup kuchezewa uwanja wa Kinesi badala ya Bandari haijatolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar kama baadhi ya wana JF wanavyo ihabarisha umma wa wanamichezo na kuhusisha jambo hilo na yaliyotokea siku za nyuma kati ya Clouds media na Mkuu wa Mkoa wa Dar.

Na mpaka Sasa hakuna aliyetoa sababu za kutochezwa kwa mashindano hayo uwanja wa Bandari baada ya ukarabati kufanyika.

Taarifa iliyotolewa na Clouds Media kupitia kwa Shafii Dauda ni kuwa mechi za 16 bora zitachezwa uwanja wa Kinesi Shekilango mpaka taarifa zitakapotolewa vinginevyo.
Wewe ni k*********
 
Uzi wako ungebeba maana iwapo ungekuja humu kujitetea ukiwa tayari na sababu ni kwa nini uwanja wa Bandari usitumike tena.
 
Nalijua hilo na sina shaka nalo ila tutoe taarifa zenye uthibitisho na siyo kuandika kwa hisia.

Hata Shafii Dauda hajaandika kuwa Mkuu wa Mkoa amesitisha mashindano hayo kufanyika uwanja wa Bandari
Sawa.muda utaongea.
Nabakisha maneno.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
zero on paper translate zero in life!
nenda kawaambie watoto wenzio huko
 
Uzi wako ungebeba maana iwapo ungekuja humu kujitetea ukiwa tayari na sababu ni kwa nini uwanja wa Bandari usitumike tena.
Taarifa wanayo waliotoa taarifa ya awali ya katazo.Kwanini hawajaiweka na kuanza kuweka hisia zao tu.Ndiyo shida ya waandishi wetu hiyo.
 
Makonda anakula kiyoyozi ilala wao wanamzushia uongo[emoji1] [emoji1] [emoji1] Post sent using JamiiForums mobile app
Damu ya kunguni?! Hata afanye nini! Kapigana na madawa ya kulevya, watu hawapendi, kapigana na rushwa mkoa, wilaya na hamashauri, bado watu hawapendi! Kapambana na majambazi mkoani, watu bado, kaleta vituo vya afya na maendeleo, kweli hatuna shukrani..
 
Taarifa wanayo waliotoa taarifa ya awali ya katazo.Kwanini hawajaiweka na kuanza kuweka hisia zao tu.Ndiyo shida ya waandishi wetu hiyo.
Basi ungefuatilia kwanza ukipata jibu basi ndio uje huku, otherwise sioni mantiki ya uzi huu.
 
Mbna mnapenda kumzushia sana Mkuu wa mkoa mbna anafanya mengi mema kwa ajili ya mkoa huu kuliko hata wabunge na mameya waliopo kuweni na roho ya hisani sio kila linalotokea mnamrushia mpira hata uthibitisho hamna kama angekuwa amezuia clouds si wangesema hebu acheni mambo ya ajabu yasiyoeleweka mkuu wa mkoa kazindua hosp juzi tuu na hazijaisha siku nyingi kuna pikipiki zinatolewa kusaidia huduma za jamii

Hebu badiliken wabongo

Hii mitandao Huru imekuwa shida sana.watu tunaandika tu lolote lile jinsi nafsi inavyopenda.

Clouds Media wangesema kama aliyesitisha ni Mkuu wa Mkoa kuliko mtoa mada kuweka hisia zako ktk barua ambayo iko clear
 
Damu ya kunguni?! Hata afanye nini! Kapigana na madawa ya kulevya, watu hawapendi, kapigana na rushwa mkoa, wilaya na hamashauri, bado watu hawapendi! Kapambana na majambazi mkoani, watu bado, kaleta vituo vya afya na maendeleo, kweli hatuna shukrani..
Unaijua rushwaaa??
Hizo Hummer Bmw na maghorofa Dar na Mwz mbona hakutoa majibu kapata vipi??
 
Bashite, wazee wametumia nguvu nyingi sana kukubeba usiende na maji, na wa Tz wameamua kupotezea madudu yako na 'kukusamehe' kwa uliyoyafanya. Ni vyema basi na wewe ukatumia busara kidogo na kuachana na chokochoko zinazozidi kukuharibia. Jikite kwenye kutumikia uma wa wana Dar na sio kutunishiana mabavu na watu ambao kiukweli hutowaweza.
Anajua nchi ya babake pekee.
 
Tushakwenda kwa babu na ramli imekamata alihamisha mashindano ni Rc sasa hata ukija na utetezi kamwe hatukuelewi ng'o
 
Back
Top Bottom