milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,166
Wewe ni k*********Taarifa za michezo ya Ndondo Cup kuchezewa uwanja wa Kinesi badala ya Bandari haijatolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar kama baadhi ya wana JF wanavyo ihabarisha umma wa wanamichezo na kuhusisha jambo hilo na yaliyotokea siku za nyuma kati ya Clouds media na Mkuu wa Mkoa wa Dar.
Na mpaka Sasa hakuna aliyetoa sababu za kutochezwa kwa mashindano hayo uwanja wa Bandari baada ya ukarabati kufanyika.
Taarifa iliyotolewa na Clouds Media kupitia kwa Shafii Dauda ni kuwa mechi za 16 bora zitachezwa uwanja wa Kinesi Shekilango mpaka taarifa zitakapotolewa vinginevyo.
Sawa.muda utaongea.Nalijua hilo na sina shaka nalo ila tutoe taarifa zenye uthibitisho na siyo kuandika kwa hisia.
Hata Shafii Dauda hajaandika kuwa Mkuu wa Mkoa amesitisha mashindano hayo kufanyika uwanja wa Bandari
Taarifa wanayo waliotoa taarifa ya awali ya katazo.Kwanini hawajaiweka na kuanza kuweka hisia zao tu.Ndiyo shida ya waandishi wetu hiyo.Uzi wako ungebeba maana iwapo ungekuja humu kujitetea ukiwa tayari na sababu ni kwa nini uwanja wa Bandari usitumike tena.
Damu ya kunguni?! Hata afanye nini! Kapigana na madawa ya kulevya, watu hawapendi, kapigana na rushwa mkoa, wilaya na hamashauri, bado watu hawapendi! Kapambana na majambazi mkoani, watu bado, kaleta vituo vya afya na maendeleo, kweli hatuna shukrani..Makonda anakula kiyoyozi ilala wao wanamzushia uongo[emoji1] [emoji1] [emoji1] Post sent using JamiiForums mobile app
Basi ungefuatilia kwanza ukipata jibu basi ndio uje huku, otherwise sioni mantiki ya uzi huu.Taarifa wanayo waliotoa taarifa ya awali ya katazo.Kwanini hawajaiweka na kuanza kuweka hisia zao tu.Ndiyo shida ya waandishi wetu hiyo.
Hakuna marefu yaso na ncha.....ipo siku naye ataja juta.Bashite ana roho mbaya sana
Post sent using JamiiForums mobile app
Kama we ni Bashite kumbuka wewe umeteuliwa, wenzio wamechaguliwa na watu.Waambie wakusikie!!!
Hii mitandao Huru imekuwa shida sana.watu tunaandika tu lolote lile jinsi nafsi inavyopenda.Mbna mnapenda kumzushia sana Mkuu wa mkoa mbna anafanya mengi mema kwa ajili ya mkoa huu kuliko hata wabunge na mameya waliopo kuweni na roho ya hisani sio kila linalotokea mnamrushia mpira hata uthibitisho hamna kama angekuwa amezuia clouds si wangesema hebu acheni mambo ya ajabu yasiyoeleweka mkuu wa mkoa kazindua hosp juzi tuu na hazijaisha siku nyingi kuna pikipiki zinatolewa kusaidia huduma za jamii
Hebu badiliken wabongo
Post sent using JamiiForums mobile app
Unaijua rushwaaa??Damu ya kunguni?! Hata afanye nini! Kapigana na madawa ya kulevya, watu hawapendi, kapigana na rushwa mkoa, wilaya na hamashauri, bado watu hawapendi! Kapambana na majambazi mkoani, watu bado, kaleta vituo vya afya na maendeleo, kweli hatuna shukrani..
Anafikiri watu wote ni wajinga kama yeyeWe nawe umekuja kumtetea kijinga sana hivi unahisi kuna mtu hajang'amua hila hizo
chaguo la wengi
Hapo anashirikiana na dingi yake.Unaijua rushwaaa??
Hizo Hummer Bmw na maghorofa Dar na Mwz mbona hakutoa majibu kapata vipi??
Anajua nchi ya babake pekee.Bashite, wazee wametumia nguvu nyingi sana kukubeba usiende na maji, na wa Tz wameamua kupotezea madudu yako na 'kukusamehe' kwa uliyoyafanya. Ni vyema basi na wewe ukatumia busara kidogo na kuachana na chokochoko zinazozidi kukuharibia. Jikite kwenye kutumikia uma wa wana Dar na sio kutunishiana mabavu na watu ambao kiukweli hutowaweza.