Ulitaka aje kukwambia mwenyewe?Taarifa za michezo ya Ndondo Cup kuchezewa uwanja wa Kinesi badala ya Bandari haijatolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar kama baadhi ya wana JF wanavyo ihabarisha umma wa wanamichezo na kuhusisha jambo hilo na yaliyotokea siku za nyuma kati ya Clouds media na Mkuu wa Mkoa wa Dar.
Na mpaka Sasa hakuna aliyetoa sababu za kutochezwa kwa mashindano hayo uwanja wa Bandari baada ya ukarabati kufanyika.
Taarifa iliyotolewa na Clouds Media kupitia kwa Shafii Dauda ni kuwa mechi za 16 bora zitachezwa uwanja wa Kinesi Shekilango mpaka taarifa zitakapotolewa vinginevyo.
Wewe umekuwa nani mpaka utoe taarifa zisizo na uthibitisho??
Upi unaotaka wa maandishi au wa mdomo ?Weka uthibitisho
Nasikia na tamasha la fiesta wamelupiga pini hadi wakubali kuanda muvi za ushirawadu kutoka kwa bashite ili kuwadhalilisha wapinzaniMbna mnapenda kumzushia sana Mkuu wa mkoa mbna anafanya mengi mema kwa ajili ya mkoa huu kuliko hata wabunge na mameya waliopo kuweni na roho ya hisani sio kila linalotokea mnamrushia mpira hata uthibitisho hamna kama angekuwa amezuia clouds si wangesema hebu acheni mambo ya ajabu yasiyoeleweka mkuu wa mkoa kazindua hosp juzi tuu na hazijaisha siku nyingi kuna pikipiki zinatolewa kusaidia huduma za jamii
Hebu badiliken wabongo
Post sent using JamiiForums mobile app
Hoja isiyo na mashiko hiyo.Nasimama na msimamo wangu always.Huyu mleta mada anataka ma likes na mafolowazi kama bosi wake bashite. Sasa umeshindwa kuconect dots hapo
We nawe umekuja kumtetea kijinga sana hivi unahisi kuna mtu hajang'amua hila hizo
chaguo la wengi
Ww ni kau ... Na bashite wako piaNalijua hilo na sina shaka nalo ila tutoe taarifa zenye uthibitisho na siyo kuandika kwa hisia.
Hata Shafii Dauda hajaandika kuwa Mkuu wa Mkoa amesitisha mashindano hayo kufanyika uwanja wa Bandari