Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.

Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.

Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.

My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
 
Pumbavu, wanamwombea shetani?
 
Mbona mnatumia nguvu kumtafuta aliyekufa kati ya walio hai?
Mtakufuru sasa mnaelekea kuwa kama Wagiriki au wa Egypt kuwaabudu mafarao waliokufa.
Let the the man rest maana lawama zimekuwa nyingi sasa.
Na ukishakufa kilichobaki hesabu hata ikuombee tz nzima hakuna kitakachobadilika
 
Jana RFA mida ya saa nne usiku Wambura Mtani sijui alijichanganyaje akachagua ile nyimbo ya Aslay Bye Magufuli, aisee alivyoitoa fasta na kupotezea nkajikuta nacheka yalisikika maneno We Mwanachato Eh kimya kikatawala na stori za kupotezea.

Ila ile nyimbo Aslay aliimba bhana. Leo naomba RFA waipige baada ya kipindi cha michezo usiku.
 
Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.

Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.

Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.

My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Ulitaka itengwe budget kila mwaka ya kumuombea diktetor? alishindwa nini kujiombea yeye?
 
Back
Top Bottom