Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.

Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.

Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.

My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Hata Bashite Makonda,hakuwepo?
 
Hadi viongozi wenzake wamemsusa hii maana yake walimchukia sana kwa vitendo vyake, duniani tunapita tu mtu usijifanye hii dunia ni mali ya Baba yako na ukajiona wewe ndiye bora kuliko wengine.
Sio lazima tuazimishe kila mwaka, magufuli sio mungu kwamba kila mwaka lazima watu wafike chato kumuabudu,,
Mungu anasema usiwe na miungu mingine ila yeye tu,,
Ndo maana utakuta hata wafalme kama wa saudi arabia, wanazikwa kawaida tu na hawataki watu wawe wakienda kuabudu miaka nenda rudi kwenye makaburi yao,
 
Bado ni heshima kubwa sana. Mkuu wa Mkoa ni Muwakilishi wa Rais, sasa sijui mtoa mada ulitaka Rais na Cabinet yake yote waache majukumu waende huko na kufanya maombolezo, na bendera zipepee nusu mlingoti? Wengi tulimpenda Magufuli, sasa hivi tuna Rais mwingine, Magufuli ni historia sasa, kuendelea kutukuzwa ni kumdogosha Rais aliyepo madarakani.
 
Sasa kama ni hivyo inajulikana sasa mnaanzisha mathread ya nini humu wewe na chawa mwenzako? JPM siyo wa kwanza kufa na kusahaulika,Kafa malikia ,kafa princess diana na watu wameshasahau.
Umewahi kuiona thread yangu yoyote kuhusu hizo kitu?au ndio umemalili ujinga na unaongozwa na ujinga wako kuhisi kila mtu yupo kama wewe?
 
Sio lazima tuazimishe kila mwaka, magufuli sio mungu kwamba kila mwaka lazima watu wafike chato kumuabudu,,
Mungu anasema usiwe na miungu mingine ila yeye tu,,
Ndo maana utakuta hata wafalme kama wa saudi arabia, wanazikwa kawaida tu na hawataki watu wawe wakienda kuabudu miaka nenda rudi kwenye makaburi yao,
Umeona kuna sehemu nimesema tuadhimishe kila mwaka! Kwanza mimi si miongoni mwa hao wanaomfanya ndiyo Mungu wao.
 
Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.

Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.

Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.

My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Kumuombea marehemu kunafanyika kokote- mimi nimesali kanisani kwetu Namanyere
 
Hakuna binadamu mwenye mema matupu asiye na mabaya ni Mwenyezi .Mungu tu

Binadamu yeyote ana mema yake na mabaya yake akiwemo Magufuli na awaye yeyote

Asante wale walioenda wamewakilisha kukumbuka walau yale mema alifanya sababu ana mema yake pia alifanya

Asante kwa huo uwakilishi walau unakumbusha kuwa marehemu Magufuli aliwahi pia kuwa na mema yake ambayo yalifanya watu wanyonge walie mabarabarani jeneza likipita

Wenye nacho hakuna aliyeanguka wala kuzimia wala kuangua kilio kikali wanyonge ndio walianguka na kuzimia kwa maelfu hata kufa kwa kukanyagana kuaga mpendwa wao
 
Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.

Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.

Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.

My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!
Nimeipenda hiyo👆😁😁
 
Ndio akome kutesa watanzania bila sababu sasa inamrudia alipo kaburini huko nyoko yule, natamani afufuke tumchape bakora za kutosha kisha afe tena.
Unaweza dhania upo sawa kichwani lakini ki uhalisia una shida kubwa sana.Tatizo hujijui kama una tatizo.Chato panafahamika kuliko kubwabwaja hapa funga safari nenda mpaka kaburini kwake ukamchape viboko kuliko kutupigia makelele hapa na maneno mengi huku ukiwa huna ujasiri huo hata ukiruhusiwa kufanya hivyo.
 
Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo.

Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela.

Watu wengine maarufu waliokuwepo ni Doto James, Ngussa Samike, Mbunge wa Chato, Medard Kalemani bila kumsahau DC wa Chato.

My take:
Mkipata hela kumbukeni zaidi familia zenu, machawa watakusahau mapema ukifa au ukakosa pesa lakini sio familia yako!!

Haya ni mambo ya imani tusiweke siasa. Unataka watu waende kwa upendo au unafiki
 
Umewahi kuiona thread yangu yoyote kuhusu hizo kitu?au ndio umemalili ujinga na unaongozwa na ujinga wako kuhisi kila mtu yupo kama wewe?

Wewe ndiyo unaleta umbulula kuzungumzia vitu ambavyo ni known ,hivi kuna mtu ambaye hatokufa kwa akili yako? Wewe unasupport upumbavu ,mimi hoja yangu nimesema ni kwamba siyo hao chawa kumsahau hata mkewe naye atakuja kumsahau na hatohudhuria hizo kumbukizi,,,,,BASHITE na SLOWSLOW mwenye hawakuhudhuria
 
Back
Top Bottom